barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wasusie kwani wapo bungeni au udiwanini? Wanasusaje kitu hawana?Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.
Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?
Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?
Nawasilisha kwa utiiiifuš
Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??Hata waliposusia bunge mijadala ilijadiliwa na kupitishwa, sheria zilipitishwa. Labda kwa kususa saiv kuna jambo litabadilika. Waliochaguliwa wakafanye kazi walizotumwa na wananchi
Kwani wakisusa wewe unateseka!?Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??
Vichaa ni wale wote wanaofahamu ukweli namna uchaguzi ulivyoendeshwa halafu wanakaa kimya.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Nilikuwa nadhani una akili ya kuwazua mambo ya kisiasa, kumbe najidanganya! Hata tafsiri sahihi ya chama kudhamini mgombea imekupita kando. Usaliti ni nini hasa katika mazingira ya utawala unaoliliwa na damu za raia wasio na hatia, kosa lao ni kudai haki yao!Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Hakuna cha kulia wala kucheka, kma walikiwamo hao waliotupwa nje lakini bado mlikuwa mnalia pia.Endelea kucheka na kufurahia Mkuu ,sisi ni Binadamu na Siku hazigandi ukija wakati wako wa kulia usistuke.
Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.Kwani Bunge likiwa la chama kimoja kazi ya Wananchi haitafanyika??
Itakuwa safi sana. Tanzaniania itakuwa kama urayaaaaa espeshali Arusha itakuwa kalifonyaaa na Moshi itakuwa City na Iringa itakuwa kitovu cha utalii nchini.Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.
Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?
Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?
Nawasilisha kwa utiiiifuš
Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Wasiposusa then what?Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
hahaha lile bunge la katiba liliishaje?Hata waliposusia bunge mijadala ilijadiliwa na kupitishwa, sheria zilipitishwa. Labda kwa kususa saiv kuna jambo litabadilika. Waliochaguliwa wakafanye kazi walizotumwa na wananchi
Mwenye Mamlaka hataki kusikia Upinzani. Sasa kwanini asiachiwe yeye Mwenyewe na Chama chake?Kumbe hakukuwa na sababu ya kuundwa hata hivyo vyama shindani kama chama kimoja kinaweza kutekeleza majukumu. Ally kesy kuna upuuzi aliufanya ndo maana wananchi wamemtoa kidemokrasia.
Pascal Mayalla utambue pia mwenye akili anayeenda kuwakilisha wapinzani katika kura ya 2/300 atakuwa ana matatizo ya akili kudhani atakuwa na hoja ya kuungwa mkono na hao 300 walio kinyume chake.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Itakuwa vyema kama watajitoa na sio kususia kwa sababu:Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za uamuzi wa aina io kwa Taifa kama taifa na watanzania kwa ujumla.
Je, kuna hasara gani au faida watazipata upinzani?
Je, faida au hasara zipi kwa chama tawala?
Nawasilisha kwa utiiiifuš
Hoja lako linatia kinyaa bora utulie tu.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.
Kwenye uchaguzi kazi ya chama ni kukudhamini tuu, lakini unachaguliwa na wananchi. Ukiisha chaguliwa wewe unakuwa ni mtumishi wa watu na sio wa chama.
Kama watu wamekuamini wakakuchagua, chama kikikuzuia ni kuwasaliti hao watu na ukikubali na wewe ni msaliti!.
P
Kama kususa kwao hakutakubadilishia kitu, kwa nini unaumia hivyo? Kama hawataonewa huruma si itakuwa bora zaidi kwako? Uamuzi watakaofikia ni ule watakaoona una tija kwao na wafuasi wao, wewe haukuhusu.Mnashupaza mishipa ya shingo eti wasuse, wakishasusa then what!? Kuna chochote kitabadilika?
Ni tabia ya kitoto sana eti kujinunisha ila mzazi akuoneaa huruma. Hakuna atakae kuoneeni huruma kwa kususa huko, jadilianeni mfikie mwafaka wenye kuleta tija ila sio upuuzi wa kususa
Kweli paskali uko sahihi hata Kama wajumbe siyo watu wazuri.Akitokea mtu akawashauri Wapinzani waliochaguliwa wasuse, huyo atakuwa sio mzima, ni kichaa!. Na kama kuna mpinzani amechaguliwa na wananchi, halafu akatokea kichaa mmoja kumshawishi agomee, huyo mpinzani pia atakuwa sio mzima!.