Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana, na kuchochea maendeleo, mabadiliko na mageuzi makubwa sana kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini...
Kulalamika, kunung'unika, kukosoa na kubeza pekeyake, hakuna tija wala manufaa yoyote, ni sawa na bora liende tu.
Nadhani ni lazima pawepo principles na standards za kuongoza taasisi yenye malengo mahususi. Ni Lazima pawepo sera, maono, mipango na mikakati mbadala, itakayotoa changamoto dhidi ya ile ya serikali iliyopo madarakani na kuchochea pafanyike bidii na jitihada zaidi zitakazo fanya wanainchi kunufaika na maendeleo endelevu.
Hii habari ya kusifiana uhodari wa kulalamika na kunung'unuka tu, ni kujichelewesha kupiga hatua za kimaendeleo.
Kupeana matumaini eti aise, fulani analalamika vizuri sana kwa hoja, oohh kwekweli amewakomesha akina fulani na hawana majibu. halafu eti kwahiyo huo ndio uongozi bora uaminiwe na kupewa ridhaa ya wanainchi kuongoza? thubutu.....
vibrant opposition is the engine to foster development...