Pre GE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

Pre GE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sera ni moja kati ya misamiati mingi ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo miaka yote ambayo wananchi wengi wala hawajui nini hasa maana yake !

Sera zote za Nchi yeyote katika Africa zinafanana tu ,
Lakini watu wanajua kwamba Zilongwa mbali Zitendwa mbali ,
Upigaji kila mahali hiyo ndio shida kuu 👁
 
Upinzani haujawahi kuwa tatizo kwetu sisi wananchi , matatzo yetu sisi wananchi ni.

Mfumuko wa bei
Rushwa
Miundo mbinu mibovu
Ahadi za uwongo kutoka kwa watu tulio wapa dhamana.
Ukosefu wa ajira
Mishaara mibovu kwa watumishi wa umma,na nk.

Changamoto zote hizi zilipaswa kutatuliwa na chama tawala toka miaka 60 ya uhuru.
✍️📝👌👍🤝👏🙏
 
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana, na kuchochea maendeleo, mabadiliko na mageuzi makubwa sana kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini...

Kulalamika, kunung'unika, kukosoa na kubeza pekeyake, hakuna tija wala manufaa yoyote, ni sawa na bora liende tu.

Nadhani ni lazima pawepo principles na standards za kuongoza taasisi yenye malengo mahususi. Ni Lazima pawepo sera, maono, mipango na mikakati mbadala, itakayotoa changamoto dhidi ya ile ya serikali iliyopo madarakani na kuchochea pafanyike bidii na jitihada zaidi zitakazo fanya wanainchi kunufaika na maendeleo endelevu.

Hii habari ya kusifiana uhodari wa kulalamika na kunung'unuka tu, ni kujichelewesha kupiga hatua za kimaendeleo.

Kupeana matumaini eti aise, fulani analalamika vizuri sana kwa hoja, oohh kwekweli amewakomesha akina fulani na hawana majibu. halafu eti kwahiyo huo ndio uongozi bora uaminiwe na kupewa ridhaa ya wanainchi kuongoza? thubutu..... :pedroP:

vibrant opposition is the engine to foster development...
mbona na wewe ni kama unalalAmika mkuu
naamini kuwa mpinzani kwenye hii nchi is hard, ni kufa na kupona
kesi za hapa na pale
tuwatie moyo
 
mbona na wewe ni kama unalalAmika mkuu
naamini kuwa mpinzani kwenye hii nchi is hard, ni kufa na kupona
kesi za hapa na pale
tuwatie moyo
unamtia moyo mlalamikaji asie na uelekeo, dira wala mipango mbadala, kweli?

Senegal unaionage, kama ni swala la kesi na vifungo jela kwa upinzani?

je walikua wanaficha uelekeo wao, dira na mipango mbadala, au walikua wanaielezea kwa wanainchi na wanaishindanisha dhidi ya ile ya serikali?

au uliona walikua wanaeleza manung'unuko na malalamiko yao tu kwa wanainchi kama wanainchi kama wanainchi wanavyo lalamika? :pedroP:

yaani mwanainchi analalamika na kiongozi analalamika, sasa hiyo ni nini? si ni useles tu....
 
hata wangefanya nini ungelalamika pia
 
Back
Top Bottom