Pre GE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sera ni moja kati ya misamiati mingi ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo miaka yote ambayo wananchi wengi wala hawajui nini hasa maana yake !

Sera zote za Nchi yeyote katika Africa zinafanana tu ,
Lakini watu wanajua kwamba Zilongwa mbali Zitendwa mbali ,
Upigaji kila mahali hiyo ndio shida kuu πŸ‘
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ‘πŸ™
 
mbona na wewe ni kama unalalAmika mkuu
naamini kuwa mpinzani kwenye hii nchi is hard, ni kufa na kupona
kesi za hapa na pale
tuwatie moyo
 
mbona na wewe ni kama unalalAmika mkuu
naamini kuwa mpinzani kwenye hii nchi is hard, ni kufa na kupona
kesi za hapa na pale
tuwatie moyo
unamtia moyo mlalamikaji asie na uelekeo, dira wala mipango mbadala, kweli?

Senegal unaionage, kama ni swala la kesi na vifungo jela kwa upinzani?

je walikua wanaficha uelekeo wao, dira na mipango mbadala, au walikua wanaielezea kwa wanainchi na wanaishindanisha dhidi ya ile ya serikali?

au uliona walikua wanaeleza manung'unuko na malalamiko yao tu kwa wanainchi kama wanainchi kama wanainchi wanavyo lalamika?

yaani mwanainchi analalamika na kiongozi analalamika, sasa hiyo ni nini? si ni useles tu....
 
hata wangefanya nini ungelalamika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…