Uchaguzi 2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

Haramu yageukaje kuwa halali?
 
Unaongelea bunge lipi ?? au hili lilowekwa na Jeshi la Mabeyo na Security wa Diwani pamoja na Polisi ya Sirro wakisaidiwa na majeshi ya kukodi kutoka BURUNDI ???
Wacha utani wako Tanzania inaweza kukodi majeshi kutoka Burudi, ili iweje?
 
Unafikiri hawa mlowaleta wanaoongea kiswahili cha kiburundi hatuwajui ??? kiswahili na maneno ya kifaransa
Inawezekana umekutana na askari wetu waliokuwa DRC kwa muda mrefu kwenye operations za UN
 
Inawezekana umekutana na askari wetu waliokuwa DRC kwa muda mrefu kwenye operations za UN

kama vile hatujafika Bujumbura wala kuishi na waburundi ?? wala kama vile hakuna watu wetu jeshini . Kwa taarifa yako tuna mtoto wetu hapa kaolewa na Mburundi na huyo mume wake kiswahili chake tumekizowea
 
Inawezekana umekutana na askari wetu waliokuwa DRC kwa muda mrefu kwenye operations za UN

kijana wetu alikuwa huko miaka mingi jeshini wala kiswahili chake hakijabadilika
 
Hata mfalme mbowe amechaguliwa miaka nenda rudi anakuja safari hii anawaambia wananchi hata akiweka ile miwani yake uhakika wa kushinda ni 200%
 
Hata
 
Hata mfalme mbowe amechaguliwa miaka nenda rudi anakuja safari hii anawaambia wananchi hata akiweka ile miwani yake uhakika wa kushinda ni 200%
na miaka yote hiyo wimbo ndio huohuo wa kuibiwa kura lakini wanatangazwa kushinda na kwenda bungeni. Hawakuwahi kususa, ila sasa Aida anatakiwa asuse. Walahi kama viti maalumu vingeruhusu wanaume kuteuliwa cdm ingeshawapeleka bungeni Lema, Mbowe, Sugu, Msigwa, Heche, Mnyika, Pro Jay na kujalizia idadi na akina Mdee, Bulaya, na kwenda bungeni moja kwa moja.
 
Lakini itakuwa hatari sana na kazi ngumu kama kila mtu anayepigiwa simu na asiyemjua anavuka mpaka kukimbia kufa.

Jana nilipigiwa simu na mtu nisiyemfahamu akitaka niachane na mke wake la sivyo nitakiona, nilivyomhoji vizuri akaomba samahani kuwa alikosea namba. Ningekuwa bwege na mimi ningekimbilia ubalozi wa Ethiopia kuepusha maisha yangu. Maana wakati napigiwa nilikuwa hatua chache tu kutoka ulipo mgahawa wa Addis
 
Acha hivi wewe, mtu anapiga kura yeye na familia yake lakini anapata zero?
 
Ajabu na kweli
 
Kama sio mwanasiasa wa upinzani ukipigiwa simu za hivyo nenda polisi,utapewa ushirikiano!Ila kama wewe ni mpinzani ukitishwa basi kimbia tu!Ben saanane aliweka hadi namba za simu za waliomtisha lakini hakuna anayejihangaisha na kupotea kwake!
Aibu kwa hili jeshi la kipuuzi!
 
Wanaogopa damu zisizo hatia za watz wenzetu ni heri kujieupusha na unajisi wa damu za watu.
Bunge la kijani limelowa damu za watz wenzetu waliouliwa Zanzibar tarime rorya tunduma nk ili kufurahisha matumbo yao.
 
Kama sio mwanaccm ni heri usalimishe roho yako haraka ubalozini wasije kukusaanane Hawa majahili,maana wasiojulikana watarudi kwa Kasi Sana toka likizo ya muda mafichoni.
 
Usichanganye kati ya Waha wa Kibondo na Warundi

Kila mtu anawajua warundi au wametoka sayari nyengine. Mumeleta majeshi ya Burundi na tunajua na kila mtu anajua hapa visiwani usilete ubishi usio mashiko. Hata hao wanajeshi wenu wanatuambia
 
Wenyewe ndio hao wanakimbia hayo atayafanya nani, hiyo namba moja itabaki kuwa nguvu ya ccm miaka100.
Wakirudi 2025 lazima wafurushwe na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…