murra wa marwa
Senior Member
- Apr 24, 2008
- 150
- 2
Mimi sitaki nasema sitaki upinzani uuwawe kama ilivyofanywa na kina Marando,Lamwai na Kaborou!
Walioamua kujiunga na mafisadi in leu of THE PEOPLE'S trust!
Na sasa wanakula kuku lakini wananchi bado wanateseka!
NASEMA SITAKI UPINZANI UUWAWE WAKATI AMBAPO WANA NAFASI KUBWA YA KUCHUKUA NCHI!
anzisha chama mkuu, tuone sera zako tutaungana na wewe