Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Mimi sitaki nasema sitaki upinzani uuwawe kama ilivyofanywa na kina Marando,Lamwai na Kaborou!
Walioamua kujiunga na mafisadi in leu of THE PEOPLE'S trust!
Na sasa wanakula kuku lakini wananchi bado wanateseka!
NASEMA SITAKI UPINZANI UUWAWE WAKATI AMBAPO WANA NAFASI KUBWA YA KUCHUKUA NCHI!

anzisha chama mkuu, tuone sera zako tutaungana na wewe
 
Unamuuliza nani kama wote tuna majukumu sawa? Fanya nafasi yako na mengine yote yatafuata.
If thats the case mbona unamtetea Zitto na Kikwete halafu nikiuliza mna ni brush off ili nionekane sina Hoja?
Mna uhakika hakuna anyefikiri i am doing the right thing?
 
Debates ni part ya utendaji kazi wa JF. Ukileta hoja zako tegemea kupingwa na/au kuungwa mkono. Kama wewe unaona kuwa sisi tunamuunga mkono Kikwete na Zitto, basi ni jukumu lako kuleta hoja za kuthibitisha hilo na pia kupinga msimamo wetu.

mimi nimeahidi kutompinga Kikwete kwa mwezi mzima hapa. Huu ni uamuzi wangu na wala sikulazimishi wewe au kadampinzani kuniunga mkono.

Sio lazima ukubaliwe kile unachosema.
 
MBONA USHAANZA KUJISTUKIA MAPEMA KUHUSU KADA ? wakati unajua jf ni zaidi ya mtu mmoja (kada) lol !
 
Debates ni part ya utendaji kazi wa JF. Ukileta hoja zako tegemea kupingwa na/au kuungwa mkono. Kama wewe unaona kuwa sisi tunamuunga mkono Kikwete na Zitto, basi ni jukumu lako kuleta hoja za kuthibitisha hilo na pia kupinga msimamo wetu.

mimi nimeahidi kutompinga Kikwete kwa mwezi mzima hapa. Huu ni uamuzi wangu na wala sikulazimishi wewe au kadampinzani kuniunga mkono.

Sio lazima ukubaliwe kile unachosema.

nimeipenda hii quote, expect me to use it every now and then !
 
Sasa mbona ni wazi kuwa unamtetea Zitto kwa miguvu yote hapa halafu at the same time unataka sisi tuamini kuwa thats not the case?
 
Kwani utakuwa umeaanza leo.... bado unasubiriwa kuleta list ya mafisadi wa JF uliyoianzisha sometimes hapa JF.

ahhhh, kuleta listi ya mafisadi jamboforums mbona ize tu, nakuanzia na baadhi yao ! vinara wao, lakini hiyo ni thread nyingine !

(1)Mwanakijiji
(2)Lunyungu
(3)Mwafrika wa Kike
(4) Mod. mmoja hivi !

should i go ahead maana wapo wengi tu ! ila hiyo ni thread nyingine.
 
Nitamtetea Zitto au Kikwete anytime I want. Si ndio demokrasia ya JF hiyo?
Babkubwa tu!
Na ndio maana na mimi nina MASHAKA kwasababu umefanikiwa kubadili mawazo kwa muda mfupi sana kiasi cha KUTISHA huku kukiwa hakuna kitu kilichofanyika cha kuweza kutu convince THE PEOPLE ADAWAIS!
 
ahhhh, kuleta listi ya mafisadi jamboforums mbona ize tu, nakuanzia na baadhi yao ! vinara wao, lakini hiyo ni thread nyingine !

(1)Mwanakijiji
(2)Lunyungu
(3)Mwafrika wa Kike
(4) Mod. mmoja hivi !

should i go ahead maana wapo wengi tu ! ila hiyo ni thread nyingine.

Anytime you want....!ndio demokrasia ya JF
 
ahhhh, kuleta listi ya mafisadi jamboforums mbona ize tu, nakuanzia na baadhi yao ! vinara wao, lakini hiyo ni thread nyingine !

(1)Mwanakijiji
(2)Lunyungu
(3)Mwafrika wa Kike
(4) Mod. mmoja hivi !

should i go ahead maana wapo wengi tu ! ila hiyo ni thread nyingine.

Mhn mambo yaenda yakiongezeka!?
 
Babkubwa tu!
Na ndio maana na mimi nina MASHAKA kwasababu umefanikiwa kubadili mawazo kwa muda mfupi sana kiasi cha KUTISHA huku kukiwa hakuna kitu kilichofanyika cha kuweza kutu convince THE PEOPLE ADAWAIS!

Mawazo yangu ninayamiliki mwenyewe!
 
Back
Top Bottom