Zitto
Former MP Kigoma Urban
- Mar 2, 2007
- 1,562
- 10,888
Maneno haya ni mazuri!
Na usije kujaribu kufikiri kuwa eti mimi sina imani na Zitto!
Hapa ni ule usemi wa kama umeshawahi kung'atwa na nyoka..then kuguswa na jani unaweza kuruka ukafikiri ni nyoka!
Na ndio maana wewe hujui kuwa mimi nilisukuma gari la Mabere Nyaucho Marando kwa imani kubwa kuwa sasa nchi itabadilika!Kumbe yeye likuwa najali TUMBO YAKE! Yuko wapi?
Wapi Laswai?
Wapi Kaborou?
Hivi hujui kama kweli hawa watu niliowataja hapo juu wangeeendelea kuwa upande wa wazalendo leo hii kusingekuwa na hizi kashfa za ufisadi?
Kwani hujui kuwa overconfidence ya CCM ya kuendelea kuwa mafisadi inatokana na uwezo wao wa kuepenyeza rupia?
Umesahau ile michezo ya utotoni pale unapomkuta mwenzako kafanya jambo baya na yeye anajaribu kukugawia kitu kidogo ili usimsemee?
Marando yupo