Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Maneno haya ni mazuri!
Na usije kujaribu kufikiri kuwa eti mimi sina imani na Zitto!
Hapa ni ule usemi wa kama umeshawahi kung'atwa na nyoka..then kuguswa na jani unaweza kuruka ukafikiri ni nyoka!
Na ndio maana wewe hujui kuwa mimi nilisukuma gari la Mabere Nyaucho Marando kwa imani kubwa kuwa sasa nchi itabadilika!Kumbe yeye likuwa najali TUMBO YAKE! Yuko wapi?
Wapi Laswai?
Wapi Kaborou?
Hivi hujui kama kweli hawa watu niliowataja hapo juu wangeeendelea kuwa upande wa wazalendo leo hii kusingekuwa na hizi kashfa za ufisadi?
Kwani hujui kuwa overconfidence ya CCM ya kuendelea kuwa mafisadi inatokana na uwezo wao wa kuepenyeza rupia?
Umesahau ile michezo ya utotoni pale unapomkuta mwenzako kafanya jambo baya na yeye anajaribu kukugawia kitu kidogo ili usimsemee?

Marando yupo
 
Na Jaji Joseph Sinde Warioba kama huyo Mark Bomani si wanajua siri nyingi tu?
Ziko wapi?
Na zimemsaidia nani hizo siri wanazozifahamu?
Wananchi wapi hao waliosaidiwa na siri za kamati zilizopita?
Ebu kuweni serious jamani!

Wazee hawaongei hovyo hadharani. Hawa ni statemen, chukua muda, kaa nao utapata mengi mengi sana. Ni wale tu ambao hawataki kuheshimu uzoefu na kazi ambayo wazee hawa wamefanya ndio atataka kuwalaumu na kuwasuta. Hawa hawawezi kwenda MAELEZO kusema kama Zitto au Mnyika etc, hawa wanasema kikubwa kwa tahadhari na ukipata fursa kuwa nao unajifunza mengi sana na unaweza kuyasema 'with authority'. Tuwaelewe wazee wetu na tuwe fair kwao!
 
Marando ni mpinzani?
Sasa si ni yeye aliyuua upinzani halafu akapewa kazi na wana CCM ya ubunge wa EA huku upinzani ukijifia zake?

debatable........... kuna mengi ya kujadili kuhusiana na nafasi ya Marando katika siasa za Tanzania. Public perception ni hiyo unayosema. Mrema-Marando issues zinahitaji sober mind kweli kweli. Hajaenda CCM Marando na siku hizi ameanza kujitolea kusaidia upinzani. Anatoa mafunzo kwa wabunge (he performed well Bungeni 1995-2000) na mada kadhaa kadhaa. Sitaki kuconclude maana mjadala ni mkubwa sana wa nani aliua upinzani. Hata Mreama bado ninamlinda sana katika hili
 
Wazee hawaongei hovyo hadharani. Hawa ni statemen, chukua muda, kaa nao utapata mengi mengi sana. Ni wale tu ambao hawataki kuheshimu uzoefu na kazi ambayo wazee hawa wamefanya ndio atataka kuwalaumu na kuwasuta. Hawa hawawezi kwenda MAELEZO kusema kama Zitto au Mnyika etc, hawa wanasema kikubwa kwa tahadhari na ukipata fursa kuwa nao unajifunza mengi sana na unaweza kuyasema 'with authority'. Tuwaelewe wazee wetu na tuwe fair kwao!

Lakini upinzani ulikuwa na nafasi Nzuri ya kuchukua nchi halafu wao wakahamia upande wa CCM!
Mimi niliwasukuma hawa jamaa kwenye magari yao huku nikiwa na imani kuwa ni watu wazalendo!
Sasa hata huu ufisadi unaotokea si wanastahili lawama kwasababu waliipa CCM nguvu ya kuendeleza ufisadi kwa confidence zote?
 
Na sasa ukaja wewe na matumaini mapya!
Sasa tusiwe na wasiwasi?
 
debatable........... kuna mengi ya kujadili kuhusiana na nafasi ya Marando katika siasa za Tanzania. Public perception ni hiyo unayosema. Mrema-Marando issues zinahitaji sober mind kweli kweli. Hajaenda CCM Marando na siku hizi ameanza kujitolea kusaidia upinzani. Anatoa mafunzo kwa wabunge (he performed well Bungeni 1995-2000) na mada kadhaa kadhaa. Sitaki kuconclude maana mjadala ni mkubwa sana wa nani aliua upinzani. Hata Mreama bado ninamlinda sana katika hili
Marando sina imani naye kabisa!
Ni msomi ambaye aliutumia usomi wake vibaya!
Sasa kama mnaendelea kumwamini..Then mna uhakika gani kuwa this time hata kuwa aligned na CCM kama alivyofanya kule bungeni na hivyo kuendelea kuusotesha upinzani kama alivyofanikiwa kabla??
 
Wakati Mrema Anajadili ni chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho..Marando alikuwa hopeless!
Yeye na Lamwai....Wakamuingiza mkenge na kwa calculation zao za kisomi wakawa wanakula pande zote za CCM na NNCR!
Wakampa Mrema midaraka yote huku chama kikipata umaarufu!
At the same time baada ya chama kupata miguvu then wakaanza kuona umuhimu wa kumpora baadhi ya madaraka Mrema!
Mrema akaona hawa watu wanataka kuutumia usomi wao kula juu ya mgongo wake!
Kwamba hawakumbuki kuwa wanachama wote waliletwa na Mzee wa Kiraracha..Bali na wao wanataka madaraka zaidi!
CCM nao wakaona loop hole na the rest is history..UFISADI KUSHAMIRI!
Alipewa kazi na CCM ya ubunge wa EA na sasa anarudi tena upinzani ili kujikita kwenye nafasi nzuri ya negotiation terms again BOTH SIDE!Na haya mambo ya ufisadi yeye anasikia harufu ya pilao tuu! Ni tumbo tu!
Hapa mkimrudisha huyu ni MAKTAIM!
YEYE ANASUBIRI UPINZANI UPATE UMAARUFU HALAFU AJE KUUA TENA KAMA ALIVYOFANYA NA KINA LASWAI NA KABOROU!
 
Na sasa ukaja wewe na matumaini mapya!
Sasa tusiwe na wasiwasi?

Wasi wasi ni muhimu sana na wala silaumu watu wenye wasiwasi. Lakini mimi sipo katika daraja la kina marando. Hawa ni watu ambao wamejenga mfumo wa vyama vingi, waasisi. Mimi na wenzangu tunaongeza matofari ya msingi uliowekwa na kufuta makosa waliyoyafanya waasisi. Wasi wasi ni muhimu sana, ila trust ni muhimu zaidi. Lack of trust inavunja nguvu sana... hujui tu
 
Wazee hawaongei hovyo hadharani. Hawa ni statemen, chukua muda, kaa nao utapata mengi mengi sana. Ni wale tu ambao hawataki kuheshimu uzoefu na kazi ambayo wazee hawa wamefanya ndio atataka kuwalaumu na kuwasuta. Hawa hawawezi kwenda MAELEZO kusema kama Zitto au Mnyika etc, hawa wanasema kikubwa kwa tahadhari na ukipata fursa kuwa nao unajifunza mengi sana na unaweza kuyasema 'with authority'. Tuwaelewe wazee wetu na tuwe fair kwao!
Marando was nobody before Mrema joined the NNCR party!
Alipopewa wanachama na Mrema na sasa anajiita Statesman?
Labda CCM ndi wanafikiri ni states man!
Huyu ni traitor!
 
Wakati Mrema Anajadili ni chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho..Marando alikuwa hopeless!
Yeye na Lamwai....Wakamuingiza mkenge na kwa calculation zao za kisomi wakawa wanakula pande zote za CCM na NNCR!
Wakampa Mrema midaraka yote huku chama kikipata umaarufu!
At the same time baada ya chama kupata miguvu then wakaanza kuona umuhimu wa kumpora baadhi ya madaraka Mrema!
Mrema akaona hawa watu wanataka kuutumia usomi wao kula juu ya mgongo wake!
Kwamba hawakumbuki kuwa wanachama wote waliletwa na Mzee wa Kiraracha..Bali na wao wanataka madaraka zaidi!
CCM nao wakaona loop hole na the rest is history..UFISADI KUSHAMIRI!
Alipewa kazi na CCM ya ubunge wa EA na sasa anarudi tena upinzani ili kujikita kwenye nafasi nzuri ya negotiation terms again BOTH SIDE!Na haya mambo ya ufisadi yeye anasikia harufu ya pilao tuu! Ni tumbo tu!
Hapa mkimrudisha huyu ni MAKTAIM!
YEYE ANASUBIRI UPINZANI UPATE UMAARUFU HALAFU AJE KUUA TENA KAMA ALIVYOFANYA NA KINA LASWAI NA KABOROU!

jmushi1 unaweza kutumia muda ukakaa chini ukatafakari sana anacho kisema ndugu Zitto ukapatya hoja ukarudi na kuwa na hoja nzito ? Mbona wana andika tu kwa kuwa wanaweza kuandika jamani ? Umeambiwa wazee hawapiki kelele , kaa nao waulize .
Mara ya mwisho tukiwa Urafiki Marando alisema yuko tayari kumtetea Kubena bure ndiyo machango wake na akaeleza mengi .Alisema yuko tayari kuwatetea akina Slaa kama watapelekwa mahakamani bado ana endelea kujitolea na hata kujiingiza katika mambo makubwa kusaidia upinzani .
 
Wasi wasi ni muhimu sana na wala silaumu watu wenye wasiwasi. Lakini mimi sipo katika daraja la kina marando. Hawa ni watu ambao wamejenga mfumo wa vyama vingi, waasisi. Mimi na wenzangu tunaongeza matofari ya msingi uliowekwa na kufuta makosa waliyoyafanya waasisi. Wasi wasi ni muhimu sana, ila trust ni muhimu zaidi. Lack of trust inavunja nguvu sana... hujui tu
Lakini Mh Zitto...Ni kwanini huyu jamaa alipingana na wapinzani na akapewa sappoti kubwa na wabunge wa CCM wakati wa mjadala wa kuwa ni nani ateuliwe kutoka upinzani kuwa Mbunge wa East Africa?
Sasa CCM walimpenda vipi mpinzani mmoja na kuwatema the rest?
 
Wakati Mrema Anajadili ni chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho..Marando alikuwa hopeless!
Yeye na Lamwai....Wakamuingiza mkenge na kwa calculation zao za kisomi wakawa wanakula pande zote za CCM na NNCR!
Wakampa Mrema midaraka yote huku chama kikipata umaarufu!
At the same time baada ya chama kupata miguvu then wakaanza kuona umuhimu wa kumpora baadhi ya madaraka Mrema!
Mrema akaona hawa watu wanataka kuutumia usomi wao kula juu ya mgongo wake!
Kwamba hawakumbuki kuwa wanachama wote waliletwa na Mzee wa Kiraracha..Bali na wao wanataka madaraka zaidi!
CCM nao wakaona loop hole na the rest is history..UFISADI KUSHAMIRI!
Alipewa kazi na CCM ya ubunge wa EA na sasa anarudi tena upinzani ili kujikita kwenye nafasi nzuri ya negotiation terms again BOTH SIDE!Na haya mambo ya ufisadi yeye anasikia harufu ya pilao tuu! Ni tumbo tu!
Hapa mkimrudisha huyu ni MAKTAIM!

Mushi ulichosema sio ukweli wote. Marando alijenga mtandao wa NCCR nchi nzima kabla ya Marando. Waligombea Ileje na wakafanya vizuri sana. Lamwai alikuwa diwani wa Manzese NCCR kabla ya Mrema kuingia NCCR. Mrema aliomgeza nguvu sana katika upinzani. Kama waasisi hawa wasingekuwa wamechukua courage ya kuanzisha vyama Mrema angeenda chama gani? Ni lazima tutambue historia. Ni muhimu sana. Na hili ndio tatizo la Tanzania. Tunasahau mapema sana na hatuweki kumbukumbu za mambo na matokeo yake tunalaumu watu tu. Timu ya Lamwai-Marando-Ndimara- Ndobho ilikuwa timu imara sana Bungeni.

Yaliyotokea yametokea. Sisi tuliojitosa sasa tunajifunza kutokana na makosa ya waliotutangulia. Lakini kamwe siwezi kusimama na kuwashambulia eti wameuua upinzani. Nitawalaumu kwa kutokuwa makini na wavumilivu. Nitawapongeza kwa kutuanzishia vyama ambavyo sasa tumevikuta na sisi tunatoa mchango wetu ili kizazi kijacho cha wanasiasa kikute mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ndio ndoto tuliyonayo ya kujenga mfumo wa vyama vingi vilivyo imara na kutetea maslahi ya wananchi. Lengo ni kondokana kabisa na mfumo wa Ukiritimba wa chama kimoja uliopo hivi sasa (Single Party Dominance). Mapambano yanaendelea na tunaweza!
 
jmushi1 unaweza kutumia muda ukakaa chini ukatafakari sana anacho kisema ndugu Zitto ukapatya hoja ukarudi na kuwa na hoja nzito ? Mbona wana andika tu kwa kuwa wanaweza kuandika jamani ? Umeambiwa wazee hawapiki kelele , kaa nao waulize .
Mara ya mwisho tukiwa Urafiki Marando alisema yuko tayari kumtetea Kubena bure ndiyo machango wake na akaeleza mengi .Alisema yuko tayari kuwatetea akina Slaa kama watapelekwa mahakamani bado ana endelea kujitolea na hata kujiingiza katika mambo makubwa kusaidia upinzani .
You are either with THE PEOPLE OR NOT!
Ilikuwa vipi akapigiwa kura za ubunge na CCM kule bungeni? badala ya kutegemea kura za wapinzani wenzake?
 
Lakini Mh Zitto...Ni kwanini huyu jamaa alipingana na wapinzani na akapewa sappoti kubwa na wabunge wa CCM wakati wa mjadala wa kuwa ni nani ateuliwe kutoka upinzani kuwa Mbunge wa East Africa?
Sasa CCM walimpenda vipi mpinzani mmoja na kuwatema the rest?

CCM does divide and rule! It did so again in nov 2006! Kama hatujifunzi kutokana na matukio ya nyuma, they will do it again! Nani alizuia Upinzani kupeleka mgombea mmoja? Hata mwaka 2006, nini kilizuia vyama vya upinzani kupeleka mgombea mmoja? Tunajipeleka wenyewe CCM watukaange. Umesahau CCM walimchagua Kabuye kwenda Bunge la Afrika? Thats Politics na hatujifunzi hata kidogo! Lazima tubadilike kifikra na kuacha tamaa
 
Mushi ulichosema sio ukweli wote. Marando alijenga mtandao wa NCCR nchi nzima kabla ya Marando. Waligombea Ileje na wakafanya vizuri sana. Lamwai alikuwa diwani wa Manzese NCCR kabla ya Mrema kuingia NCCR. Mrema aliomgeza nguvu sana katika upinzani. Kama waasisi hawa wasingekuwa wamechukua courage ya kuanzisha vyama Mrema angeenda chama gani? Ni lazima tutambue historia. Ni muhimu sana. Na hili ndio tatizo la Tanzania. Tunasahau mapema sana na hatuweki kumbukumbu za mambo na matokeo yake tunalaumu watu tu. Timu ya Lamwai-Marando-Ndimara- Ndobho ilikuwa timu imara sana Bungeni.

Yaliyotokea yametokea. Sisi tuliojitosa sasa tunajifunza kutokana na makosa ya waliotutangulia. Lakini kamwe siwezi kusimama na kuwashambulia eti wameuua upinzani. Nitawalaumu kwa kutokuwa makini na wavumilivu. Nitawapongeza kwa kutuanzishia vyama ambavyo sasa tumevikuta na sisi tunatoa mchango wetu ili kizazi kijacho cha wanasiasa kikute mfumo imara wa vyama vingi nchini. Ndio ndoto tuliyonayo ya kujenga mfumo wa vyama vingi vilivyo imara na kutetea maslahi ya wananchi. Lengo ni kondokana kabisa na mfumo wa Ukiritimba wa chama kimoja uliopo hivi sasa (Single Party Dominance). Mapambano yanaendelea na tunaweza!
Nazungumzia heshima ya kitaifa!
Heshima iliyomfanya Marando kuwa Marando sasa hivi!
Kama si mrema upinzani ungekuwa upinzani leo hii?
Sasa na nyie kizazi kipya pia muwe makini na hao mnaowaita wazee wetu!
Natambua kuwa wana role waliplay kwenye upinzani!
Lakini walitukatisha tamaa sana!
 
CCM does divide and rule! It did so again in nov 2006! Kama hatujifunzi kutokana na matukio ya nyuma, they will do it again! Nani alizuia Upinzani kupeleka mgombea mmoja? Hata mwaka 2006, nini kilizuia vyama vya upinzani kupeleka mgombea mmoja? Tunajipeleka wenyewe CCM watukaange. Umesahau CCM walimchagua Kabuye kwenda Bunge la Afrika? Thats Politics na hatujifunzi hata kidogo! Lazima tubadilike kifikra na kuacha tamaa
CCM ni wajanja kwenye hilo na ndio my main concern!

Sasa kwamfano hii ripoti nayo ikikaliwa..Haki kwa mwananchi itatoka wapi?
Na ndio maana usifikiri kuwa mimi nina agenda yoyote!
I am just a concerned citizen!
 
Mimi nisikufiche Zitto wananchi wanakuangalia kwa moyo wa matumaini makubwa mno!
Kuliko hata ya Mh Rais mwenyewe!
Ni kweli tunampa heshma zake zote lakini ikija kwa wananchi wa kawaida kama sisi..Ni wewe ndio tegemeo letu!
 
Marando was nobody before Mrema joined the NNCR party!
Alipopewa wanachama na Mrema na sasa anajiita Statesman?
Labda CCM ndi wanafikiri ni states man!
Huyu ni traitor!

Traitors ni wale Watanzania ambao wamekaa tu na kusubiri wengine wahangaike kuleta mageuzi. Ni wale wanaokaa bila mchango wowote katika mabadiliko ya kisiasa nchini petu. Ni wale wanaokaa na kulaumu wenzao na kusubiri wakosee wawaseme. Ni wale ambao wanadhani siasa ni tamu na hivyo wanasiasa tunafaidi ilihali tunarisk maisha na hata kutojiendeleza. Traitor sio Marando alieanzisha chama wakati ambao ilikuwa ngumu hata kuwaza kuanzisha chama. Traitor sio Marando ambae hata sasa anasaidia gazeti la mwanahalisi litoke kwa kutoa mchango wa hali na mali. Traitor si Marando alietukanwa na kila mtu bila kujali mchango wake katika mageuzi hapa nchini. Hawezi kuwa Marando traitor ambae wenzake wote wamerud CCM ila yeye na Ndimara bado wapo na chama chao! Traitor ni Mtanzania asietambua harubu tupatayo wanasiasa wa upinzani! Harubu tuipatayo tunapoenda vijijini kuongea na watanzania na kulala mahala ambapo mushi huwajahi lala.

Nakumbuka hadithi ya Prince Bagenda na Mabere Nyaucho Marando walipoenda Rufiji na kulala katika kitanda cha kamba. Watu wazima 2 kitanda kimoja. Kitanda kikakatika na wote kuanguka. Walikuwa katika kueneza vyama vingi. Wakati ambao ulikuwa ukihubiri vyama unaonekana kichaa na watu wanakaa kuleeeeeeeeeee! Hawa wanapswa kuenziwa na sio kuitwa majina yote mabaya. Wale waliopotea njia wanapswa kusikitikiwa kwa kuishia njiani. Lakini tukifika safarini tutawatambua mchango wao walioutoa. Tutafika siku chache zijazo.

Mzee Mtei husema mapambano ya kisiasa ni kama gari moshi liendalo Kigoma. Kuna abiria watashuka Pugu (chemponda etc) wengine morogoro (msabaha etc), wengine Kilosa (Lamwai etc), wengine Dodoma ( Tambwe Hiza etc), wengine Manyoni (Kabourou etc), wengine Kintinku (Akwilombe etc) na bado kuna wengine watashuka gari moshi linavyozidi kwenda. Ila kuna wengi watapandia Tabora, Urambo na Hata Luiche kuelekea kituoni Kigoma. Kuna wengine watajaribu kudandia tutakapokuwa tunatia breki Kigoma ili nao wawemo katika ushindi. Gari moshi hili linabadili madereva kila inapofaa.

Hekima hii ya Mtei ni muhimu sana. Gari moshi sasa linaenda kwa kasi, limekaribia Igalula. Siku si nyingi litafika Kigoma na Watanzania watapata uongozi unaostahili! Uongozi unaojali historia ya nchi na uongozi unaojua ni wapi nchi yapaswa kwenda. Uongozi utakaorevive Tanzanian Dream waliokuwa nayo akina Nyerere! Lakini kwa ushujaa wa akina Mkwawa, Isike, Mazengo, Kinjikitile na wengineo!
 
Watu kama kina Slaa na wewe na viongozi wengine!
Nyie ndio kimbilio letu!
Sasa kuniambia mimi nikamwuliza Mh Rais ripoti inaniwia vigumu mno Mh!
 
Back
Top Bottom