Hahahaaa.Hpn mkuu hiyo sera ipo toka 2004 huko miaka 10 kabla Kenya hawajaanza kutumia mfumo wa majimbo.
Pia hta kucopy sio kitu kibaya maana unakua umejifunza kitu kipya. Mfano ''CHADEMA digital'' ni lazima tu itaigwa na vyama vingine hpa Africa mashariki na kati!! Maana inaendana na wakati uliopo
Watakuelewa kweli gawa wakereketwa wa vyama?Mkuu, mimi najikumbusha nadharia za Karl Max na Friedrich Angels.
Vita vya matabaka, ubepari na mfumo wa uzalishaji mali wa kibepari.
Hawa mazee mwisho wa kitabu chao ndo walitoa hoja isemayo " "forcible overthrow of all existing social conditions",
Karibu sana.
Kwani Polepole amekuambia kuwa Chadema hawana Ilani ya uchaguzi? Ngojeni kipenga kipulizwe,Ilani ya uchaguzi au kwa kiingereza huitwa election manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote.
Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi.
Kwa miaka mitano ilopita haitii shaka yoyote kwamba CCM imesimamia ilani yake ya uchaguzi na kuhakikisha inatekelezwa kwa asilimia 80 au zaidi.
Sasa bila kuoindapinda kona Chadema na vyama vingine vya upinzani wanatakiwa watoe ilani zao za uchaguzi kila mmoja kwa wakati wake.
Ilani ya uchaguzi huandaliwa na kundi la watu ambao wote hukaa pamoja na kwa lengo moja kushinda uchaguzi na kushika dola.
Dalili zote kwamba upinzani unaenda kwenye uchaguzi kupoteza viti vingi bungeni zajionyesha.
Ni makosa yaleyale ya miaka nenda rudi tangu sheria ya vyama vingi ipitishwe mwaka 1992.
Mpaka sasa Agustino Mrema ndie kiongozi pekee wa upinzani ambae alitoa ilani ya uchaguzi ya NCCR mageuzi na akatoa upinzani wa kutosha kwa mgombea wa CCM mwaka 1995 marehemu Benjamin Mkapa.
Sasa basi, mwaka huu hali si kama ile ya 1995 hali ni ngumu na ni vigumu kuishinda CCM, tusiwe wanafiki.
Ila bado Chadema ya Tundu Lissu na vyama vingine toeni ilani zenu za uchaguzi ili wananchi angalau waone mmejitahidi.
Hata kama ni mdahalo mnaouhitaji lakini kwenye mdahalo mtakinzana kwenye ilani zenu za uchaguzi na si shutuma za yule kafanza nini ama yule vipi.
Ndo maana ni vigumu kwa Tanzania kufanya midahalo kama hakuna sera kila upande.
Acheni porojo na blahbla za oh! mara jogoo kanunuliwa na kadhalika.
Karibu.
Upinzani ni makanjanja, wanasubiri CCM watoe yao ili wakopiIlani ya uchaguzi au kwa kiingereza huitwa election manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote.
Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi.
Kwa miaka mitano ilopita haitii shaka yoyote kwamba CCM imesimamia ilani yake ya uchaguzi na kuhakikisha inatekelezwa kwa asilimia 80 au zaidi.
Sasa bila kuoindapinda kona Chadema na vyama vingine vya upinzani wanatakiwa watoe ilani zao za uchaguzi kila mmoja kwa wakati wake.
Ilani ya uchaguzi huandaliwa na kundi la watu ambao wote hukaa pamoja na kwa lengo moja kushinda uchaguzi na kushika dola.
Dalili zote kwamba upinzani unaenda kwenye uchaguzi kupoteza viti vingi bungeni zajionyesha.
Ni makosa yaleyale ya miaka nenda rudi tangu sheria ya vyama vingi ipitishwe mwaka 1992.
Mpaka sasa Agustino Mrema ndie kiongozi pekee wa upinzani ambae alitoa ilani ya uchaguzi ya NCCR mageuzi na akatoa upinzani wa kutosha kwa mgombea wa CCM mwaka 1995 marehemu Benjamin Mkapa.
Sasa basi, mwaka huu hali si kama ile ya 1995 hali ni ngumu na ni vigumu kuishinda CCM, tusiwe wanafiki.
Ila bado Chadema ya Tundu Lissu na vyama vingine toeni ilani zenu za uchaguzi ili wananchi angalau waone mmejitahidi.
Hata kama ni mdahalo mnaouhitaji lakini kwenye mdahalo mtakinzana kwenye ilani zenu za uchaguzi na si shutuma za yule kafanza nini ama yule vipi.
Ndo maana ni vigumu kwa Tanzania kufanya midahalo kama hakuna sera kila upande.
Acheni porojo na blahbla za oh! mara jogoo kanunuliwa na kadhalika.
Karibu.
Wewe ndiye taahira kabisaaaaa, Chadema na ACT wameshatoa ilani zao na zimeshaidhinishwa na vikao vya juu vya vyama vyao.Upinzani ni makanjanja, wanasubiri CCM watoe yao ili wakopi
Zipigiwe chapuo zaidi maana wananchi hawajazisikia.Mbona jana ilani zimechambuliwa. Na sera ya wanawake imezinduliwa jana!! Mfano
1. devolution ili kuzipa mamlaka kadhaa serikali za majimbo/halmashauri kujiendesha.
2. Kuwekeza kwenye kampeni ya kuendeleza miji ili watu wasikimbilie mjini, na kupunguza regional disparities.
3. Kuhusisha zaidi sekta binafsi kwenye kusogeza uchumi mbele na serikali ibaki kma regulator tu. (Ikumbukwe agenda kuu ya chadema ni uchumi wa soko/market economy)
4. Kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kurahisisha access ya mitaji kwa graduates wasio na collaterals kuombea mkopo (Wamesema watasusha makato ya HESLB mpka 3%)
5. Kuongeza purchasing power ya wananchi kwa kupunguza mrundikano wa makato (target iwe 30% pekee ndio ikatwe kwenye mshahara/income ya mfanyakazi sio sasa ambapo inafika 48%+).
Summary tu ila ilani ilichambuliwa jana vizuri tu
Pengine hufahamu kuwa maendeleo yalipofikiwa ni matokeo ya ilani tofauti zilizowekwa.Unadhani tangu tupate Uhuru mwaka 1961 zimepita ilani ngapi za uchaguzi? Na zimesaidia nini?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Ukijaribu kutafuta mwenye akili kubwa miongoni mwa hawa makamanda humpati. Hakuna wa kufikiria hayo. Wanadhani Lisu ni full package.Ni kweli kabisa.
Naona CHADEMA are basking in the sunshine ya kumuona Lissu tena.
Wanasahau kuwa mwishowe Lissu atachusha na matatizo ya wananchi yako pale pale.
Hatujasikia siasa mbadala ambazo zimejengwa na sera zinazoeleweka.
Lissu si chakula cha kuliwa mezani.
Ni machafuko kwa sababu Upinzani unajiamini utashinda uchaguzi kinyume na matakwa ya wapiga kura ambao wanangojea kuwapa kura nyingi CCM.
Hiyo ndo hali halisi.
Wenzenu wamezunguka nchi nzima na wameimaliza kuwa kununua jogoo mmoja matata sana wa kitoweo.
Kisha wasingizie wameporwa kura.
Sasa kama wasema utaingiza watu barabarani unakuwa watania au?
Hizo si ni vurugu hizo?
Devolution mmecopy Kenya sio mawazo yenu.so hakuna mpya, hata hizo zingine am sure mmecopy hahaa.
Ilani za uchaguzi ni utaratibu upo duniani kote.
Kucopy na kujidai ni kitu kipya.Hata siasa ya ujamaa na kujitegemea tulicopy China, sasa sijui hoja yako ni nini hapa.
Kucopy na kujidai ni kitu kipya.
Acknowledge mnacopy toka sehemu flani, kila kitu kina muasisi wake.
Mbona jana ilani zimechambuliwa. Na sera ya wanawake imezinduliwa jana!! Mfano
1. devolution ili kuzipa mamlaka kadhaa serikali za majimbo/halmashauri kujiendesha.
2. Kuwekeza kwenye kampeni ya kuendeleza miji ili watu wasikimbilie mjini, na kupunguza regional disparities.
3. Kuhusisha zaidi sekta binafsi kwenye kusogeza uchumi mbele na serikali ibaki kma regulator tu. (Ikumbukwe agenda kuu ya chadema ni uchumi wa soko/market economy)
4. Kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kurahisisha access ya mitaji kwa graduates wasio na collaterals kuombea mkopo (Wamesema watasusha makato ya HESLB mpka 3%)
5. Kuongeza purchasing power ya wananchi kwa kupunguza mrundikano wa makato (target iwe 30% pekee ndio ikatwe kwenye mshahara/income ya mfanyakazi sio sasa ambapo inafika 48%+).
Summary tu ila ilani ilichambuliwa jana vizuri tu
Mkuu pengine ni mgeni kwenye siasa. Opposition nyingi sana duniani huwa zina malengo ya kuchukua dola lakini kwa gradual process sio spontaneous.
Mfano chama kikuu cha upinzani sauzi kinaitwa DA kilikua na lengo la kupunguza ushindi wa ANC walau ufike 50%. Na ichukue majimbo 100+. Na kiukweli malengo yapo realistic na walifanikiwa kiasi.
Je walikua wapumbavu? Mifano ipo mingi hta Kenya kule tuliona kuna vyama vilishiriki ili tu kuretain Majimbo na County walizomiliki na sio kuongeza. Case ya Wiper n.k
Ila Tanzania sijawahi ona chama kikisema kinagombea ili kishinde tu majimbo 100 na urais wafike 30%!!! Sasa ni lini hao wapinzani hawajawahi kuitaka dola?