Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Daah mafua yamenilaza kitandani, homa moja ya hatari kila kiungo kinauma.... Ila nasikilizia. Nimepiga senge lite mbili nikaona nataka kufa.....
 
Anasema angekua na elimu angekua mbali hajui watu tuna maelimu yetu hata pesa ya bia tunaunga maisha haya mwingine anataka kujiua mwingine anataka uahai aishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]
 
Back
Top Bottom