Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Tukiongelea mtu kuwa dini fulani ndoo kigezo cha uzalendo nadhani tunakosea sana,mtu binafsi kwa malezi yake kutoka kwenye familia yake na tamaa zake anaamua kuwa mwizi na mbazilifu wa easilimali za serikali. Mfano Benjamini Mkapa alibinafsisha kila kitu na hata chembechembe ya uzalendo ilimshinda,huyo ni mkristo lakini Magufuli alipoingia aliraani hicho kitendo mpaka kesho. Hivyo hivyo kwa waislam wapo wazalendo na wapo ambao wanawaza wao ni kuibia nchi. Leo tunamsema Mboe je ni Muislam? Lakini Kikwete ambae bado anaendelea kuonyesha mipango ya kuibia nchi ni mkristo?. Kwahyo akili kama kweli kichwani mwako imo huwezi kuhusisha mambo haya na dini
 
Unavyomwita mwizi kisa umejificha kwenye ID feki? Toa utambulisho wako halisi ili iwe rahisi kuthibitisha uwizi wake, ameiba nini, km kila tajiri ni mwizi na kuiba ni rahisi kwanini usiibe wewe. Chuki umaskini badala ya kuchukia matajiri
Acha kutisha watu wewe fala, kwa nini mlileta sumu (chanjo ya covid) kwa watanzania? Mlikuwa mnamfurahisha nani?
 
Na walivyo wapumbavu wanamkungia kifua Rostam Aziz wakiamini naye ni muislam mwenzao wakati yule ana dini yake tofauti kabisa na Uislamu, na hata angekuwa muislam ufisadi anaofanya unamnufaisha yeye na familia yake na genge lake ambao wengine ni wagalatia.
 
Mmetuchelewesha nyie jamaa!
Mnasubiri Hadi uchaguzi ndio mfanye jambo lenu!!?
Mngeanza awam ya tatu ya Ben,trust me Ben angeandika katiba nzuri sana kabla kikwete hajashika!

Too late sana and the damage is done already!

KAZI na utu Tunasonga mbele!!
 
Wewe jamaa madini kichwa boksi.
 
So what? Mnge, mgeee, mngeeee. Kama hukunya Jana kwa sababu ulikula ukavimbewa, Leo unakunya, mkeo akikuuliza mbona Leo unakuja Jana hukunya, utamuona zimo?
 
Watanzania sisi ni wajinga na hatujui kudai haki zetu.

Watu wa sengerema wanapiga pesa za umma tuu kmmae zao
Kupambana na mtu mwenye MAHAKAMA, JWTZ, TISS, DEEP STATE, POLISI, BUNGE na MACHAWA unadhani ni rahisi mkuu? Watu wanaotumia nguvu ya mtutu hata panapohitaji dialogue sio rahisi. Ndio maana mtanzania hawezi kutoa pua nje, kifo ni sekunde.
 
Mkuu kwa hili utasubiri sana!! Kunywa maji utulize hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…