MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🤣 🤣 🤣 🔊 Not in our lifetime Mkuu!!!Si leo wala kesho, labda 2035 tutaona kama walichofanya gen z wa kenya.
Kwa sasa tupo kwenye phase ya ushujaa nyuma ya keyboard
🤣 🤣 🤣 🔊 Not in our lifetime Mkuu!!!Si leo wala kesho, labda 2035 tutaona kama walichofanya gen z wa kenya.
Kwa sasa tupo kwenye phase ya ushujaa nyuma ya keyboard
Athibitishe Mungu yupo kwanza.
Mkuu kuhusu muungano kufa, unaota ndoto ya mchana.Ndiyo maana huwasikii tena akina Othman Masoud wakililia Mamlaka kamili; kwa sababu wamekwisha jiokotea koloni linalowanufaisha kuliko walivyo tegemea ingewezekana.
Samia Suluhu akiendelea miaka mitano mingine Zanzibar itakuwa imebadilika sana, na haitahitaji tena kuwa kupe kwa kolonilao.
Huo unaweza kuwa mwisho wa mnaouita muungano.
Ni vema uwe makini na unachoandika unapotaja wakristo Wana chuki unajua maana yake??Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Sawa bwana Polepole
Inawezekana kakosea.Anayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo
Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?
Vipi Zitto lwabwe wa emzi za Magufuli
Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Mkuu chuki gani hiyo?Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Mkuu tusishikane uchawi, shida ipo kwa sisi watanganyika woooooote, watanganyika ni waoga, wanafiki, mazandiki na malofa kweli kweli!!Wale waislam chawa wa ccm wanufaika wa matendo maovu wizi wa Rasilimali za Nchi wengi ni wapumbavu sana, wanafanya mambo ya ajabu hovyo wakiguswa wanakimbilia kujificha kwenye Kisingizio cha Udini , mfano mwizi kama Rostam Aziz rafiki wa mama na kikwete akikemewa wanadai ni Udini na kumshambulia aliyekataa maovu, huu Upumbavu wa kutumia Udini kifala fala ndiyo umelifikisha Taifa kwenye Hali mbaya kisiasa, tukatae tukemee huu upumbavu kwani Tanzania haina Dini na hakuna udini kwenye kukataa maovu
Wakristo hawafundishwi chuki, wanafundishwa utakatifu, kutenda haki, upendo, kukemea maovu, na mengine mengi.Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Hizi ni blaa blaa za wasaka vyeo kujaribu kuwa spin watu wasio na uelewa.Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!
Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Ngoja Tusubiri tuone 😳 !Tar 28 tunakusubiri
Mkuu sisi watanganyika hatujielewi kabisaaa. Shida ipo hapa ndio maana ni rahisi kwetu kutembelea reli ya udini!!Tukiongelea mtu kuwa dini fulani ndoo kigezo cha uzalendo nadhani tunakosea sana,mtu binafsi kwa malezi yake kutoka kwenye familia yake na tamaa zake anaamua kuwa mwizi na mbazilifu wa easilimali za serikali. Mfano Benjamini Mkapa alibinafsisha kila kitu na hata chembechembe ya uzalendo ilimshinda,huyo ni mkristo lakini Magufuli alipoingia aliraani hicho kitendo mpaka kesho. Hivyo hivyo kwa waislam wapo wazalendo na wapo ambao wanawaza wao ni kuibia nchi. Leo tunamsema Mboe je ni Muislam? Lakini Kikwete ambae bado anaendelea kuonyesha mipango ya kuibia nchi ni mkristo?. Kwahyo akili kama kweli kichwani mwako imo huwezi kuhusisha mambo haya na dini
Chuki ipi unayoizungumziaDah, wakristo Wana chuki bana!!
Ukiangalia mwenendo wa Urais wa Tanzania nashawishika kukubaliana na hoja Kwa sababu Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima kutokee Chokochoko za Wakristo kujifanya hawaridhiki na Uongozi ila wao ndio wanaongiza vizuri wakati kihalisia Huwa wanaharibu sana maisha.Ni vema uwe makini na unachoandika unapotaja wakristo Wana chuki unajua maana yake??
Huyo aliyezungumza hapo ni polepole ni sio msemaji wa wakristo wekeni nguvu zenu kujibu hoja za pole pole msihamishie chuki zenu katika dini Ili kutafuta huruma na kuungwa mkono
Ewaaah. !Hizi ni blaa blaa za wasaka vyeo kujaribu kuwa spin watu wasio na uelewa.
Wapi hapa Tanzania hayo uliyouataja hayafanyiki hadi yakifanyika Zanzibar basi iwe mumeiniwa?
By the way ni lini Wazanzibar waliwahi sema wanataka Muungano? Anaewalazimisha si ni CCM? So wasifanye maendeleo Yao Kwa sababu tuu Kuna wapumbavu wachache watasema ni hela zao zinafanya Kwa sababu Rais aliyepo anatokea Zanzibar?
Huwezi kuwa na hoja Kwa kuleta chuki binafsi na hata huyo anaewafanganya hatofanikiwa pamoja na kujinasibisha na Mungu maana Mungu sio wa mmja na sio mnafiki Wala mjinga.
Nataka nione Sasa kwamba Je CCM inakataa Muungano au inataka Kutawala Zanzibar?
Umemaliza kila kitu Mkuu 👏👏👍🙏Tukiongelea mtu kuwa dini fulani ndoo kigezo cha uzalendo nadhani tunakosea sana,mtu binafsi kwa malezi yake kutoka kwenye familia yake na tamaa zake anaamua kuwa mwizi na mbazilifu wa easilimali za serikali. Mfano Benjamini Mkapa alibinafsisha kila kitu na hata chembechembe ya uzalendo ilimshinda,huyo ni mkristo lakini Magufuli alipoingia aliraani hicho kitendo mpaka kesho. Hivyo hivyo kwa waislam wapo wazalendo na wapo ambao wanawaza wao ni kuibia nchi. Leo tunamsema Mboe je ni Muislam? Lakini Kikwete ambae bado anaendelea kuonyesha mipango ya kuibia nchi ni mkristo?. Kwahyo akili kama kweli kichwani mwako imo huwezi kuhusisha mambo haya na dini
Sure thing !🤣 🤣 🤣 🔊 Not in our lifetime Mkuu!!!