Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho!
Si baadhi yenu mlisema 'awamu iliyopita' inafanya maendeleo ya vitu na si ya watu!? Mbona Sasa mnaona wivu yakifanywa maendeleo ya vitu sehemu nyingine!? Mjue kwanza mnachokitaka ndipo tutajadili.
 
Watanzania sisi ni wajinga na hatujui kudai haki zetu.

Watu wa sengerema wanapiga pesa za umma tuu kmmae zao
Tunajua sehemu tunazozidai haki zetu hatuzipati mfano lissu anajua kujikwambua kwenye kesi inayomkabili lakini anapambana na system na mihimili yake , watanzania sahivi sio wale sema tunaitafuta haki kwa akili tutafika huko soon kama sehemu za kutolea haki zinaminywa
 
Hili linatatiza sana; na kweli usipokuwa mwangalifu unaweza kutoa lawama za kijumla jumla namna hii. Uamini wangu ni kuwa wapo waTanzania wenye dini ya kiislamu ambao ni wazalendo kabisa kwa nchi yao.
Unaomba utajiwe ni akina nani?

kiutumisha, jinsi alivyo litumikia taifa hili kwa uelewa wanguSalim Ahmed ni mmoja wao; pamoja na kwamba hakupata fursa ya kuuonyesha uzalendo wake halisi bila ya kuwa chini ya uongozi wa juu yake. Kawawa anasutwa sana na hao waislam wa mlengo unaowazungumzia hapa; akilaumiwa kujitoa kutumikia taifa lake bila ya kujikweza kwa udini wake. Yeye kama Salim hatujui ingekuwaje endapo mazingira yangekuwa ni tofauti wakati wa utumishi wake

Sasa hivi kinacho onekana waziwazi ni hili kundi la waislam ambao wameamua wazi kabisa kuweka mbele maslahi ya dini yao juu ya utaifa wa nchi yao. Wamechukulia nafasi hiyo sasa kuhakikisha wanabaki madarakani waendelee kutimiza lengo lao hilo.
Salimu na samia na Rostam Aziz ni kitu kimoja...wewe ni kipofu tena kwa kumtaja huyo salimu nimekushusha sana daraja huyo ni kundi na wana mtandao na raia feki ni ktu mbaya na waovyo sana sema watanzania amna uoeo wa kutambua watu ...nikaka mbowe...mbowe ni mtu mbaya sana ni zaidi ya idi amini 6...kawawa hakuna kitu ni kwasababu ya nyerere .....nakuakik8shieni hakuna muislamu atakaye kuwa rais na akawa mzalendo
 
Hivi ni lazima kila mabadiliko chanya katika jamii yaje kwa kutumia baada ya kumwagika damu? Kwanini wahusika wasikubali tu kuwezesha mabadiliko wanayotaka wananchi kwa njia ya amani?
Bado hatujachelewa sana
Tuchukue hataua
Mungu ibariki 🇹🇿
 
Si baadhi yenu mlisema 'awamu iliyopita' inafanya maendeleo ya vitu na si ya watu!? Mbona Sasa mnaona wivu yakifanywa maendeleo ya vitu sehemu nyingine!? Mjue kwanza mnachokitaka ndipo tutajadili.
Tanganyika irudi. Hilo ni la kwanza na wala si ombi!
 
Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!

Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Labda 2098
 
Anayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo

Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?

Vipi Zitto kabwe wa enzi za Magufuli

Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Unajua maana ya uhuni? Ng'ombe wa mama, nchi ya mama,madini ya mama, kenge wa mama nk
 
Mkuu kuhusu muungano kufa, unaota ndoto ya mchana.

Muungano upo sio kwa sababu wazanzibari wanataka hapana, muungano upo kwa sababu watanganyika wanufaika wanawaogopa wazanzibari!
Ungeeeza hao "...watanganyika wanufaika..." ni akina nani, ingenisaidia kuelewa unacholenga nikifahamu. Sasa umeniacha bila ya maelezo, na hata hao "wanufaika" sijui wanachonufaika nacho toka kwa wazanzibari.

Kwa hiyo jibu lako hapa halina manufaa yoyote kwangu; na hata kwa wasomaji wengine.

Tueleze kinagaubaga, hao wazanzibari wanawanufaisha na nini hao watanganyika wanufaika.

hao watanganyika wanufaika ndio wametufanya tuwe koloni la Zanzibar?
 
Mbona mnaandika majina kificho🤣🤣🤣
Endeleeni kubweka ndani ya geti amani ya Tanzania haichezewi ni tunu ya Taifa letu
 
mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilike
Kwani wewe unaogopa nini kuwaambia wasilimu kama ndiyo inayo furahisha moyo wako. Walijitangaza kufanya au kuwa walivyo kwa sababu ya ukristo wao?
Kuna anaye watetea kwa sababu ya wao kuwa wakristo?
Jambazi mkristo atetewe kwa sababu yeye ni wa imani ya kikristo?
Hivi unaelewa unachotaka kuwasilisha hapa kukingia uovu kwa sababu za kiimani? Si haya ndiyo tunayo yakata huko kwenye uislam, sasa kwa nini yawe halali kwenye hiyo dini nyingine?
Na hili ndilo linalowafanya baadhi ya waislam, kama wewe kuwa wapotofu.
 
Si leo wala kesho, labda 2035 tutaona kama walichofanya gen z wa kenya.

Kwa sasa tupo kwenye phase ya ushujaa nyuma ya keyboard
Speak for yourself, kuna watu wametekwa wameuliwa na wengine wako jela, mashujaa wapo kazini tayari pay attention
 
Salimu na samia na Rostam Aziz ni kitu kimoja...wewe ni kipofu tena kwa kumtaja huyo salimu nimekushusha sana daraja huyo ni kundi na wana mtandao na raia feki ni ktu mbaya na waovyo sana sema watanzania amna uoeo wa kutambua watu ...nikaka mbowe...mbowe ni mtu mbaya sana ni zaidi ya idi amini 6...kawawa hakuna kitu ni kwasababu ya nyerere .....nakuakik8shieni hakuna muislamu atakaye kuwa rais na akawa mzalendo
Lah! hivi ni wewe kweli!
Mbona ni kama umewehuka ghafla; au umekwisha bugia chimpumu ndio ukaja tena hapa na kuweka uchafu?

Ukiniambia wewe unalijali taifa lako kwa akili unazoonyesha kwa mwandiko tu hapa nitakwambia kuwa hupo mbali na ushetani.
Taifa lolote haliwezi kuwa na watu wa aina yako kama unavyoionyesha kwa maandishi haya hapa.

Sasa kama wewe unawaona waTanzania wenye dini ya kiislam wote katika mlengo huo;; wewe kweli tupe heshima ya kuwa mTanzania mwenye kutolea mfano kwa uzalendo kwa taifa hili? Wewe unayo tofauti gani na hao waislam wanaojiona dini yao ni muhimu zaidi ya utaifa wao kwa nchi hii. Mbona wote mmo kwenye chungu kimoja!

Unaitwa naninvile? Ngoja nikalilijina 'Lwiva' nisije nikakosea tena kumpa heshima mtu asiye istahili kabisa.

Hovyo Kabisa.
 
Ungeeeza hao "...watanganyika wanufaika..." ni akina nani, ingenisaidia kuelewa unacholenga nikifahamu. Sasa umeniacha bila ya maelezo, na hata hao "wanufaika" sijui wanachonufaika nacho toka kwa wazanzibari.

Kwa hiyo jibu lako hapa halina manufaa yoyote kwangu; na hata kwa wasomaji wengine.

Tueleze kinagaubaga, hao wazanzibari wanawanufaisha na nini hao watanganyika wanufaika.

hao watanganyika wanufaika ndio wametufanya tuwe koloni la Zanzibar?
ccm ndo wanaung'ang'ania muungano na wanahakikisha hauvunjiki, tutapima vizuri huu utawala wa kizenji ukushaondoka



tanganyika ilikufa kwa amri ya mwalimu nyerere ~ Lissu
 
Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!

Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Ndo tunaisubiri.
 
Back
Top Bottom