Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Wewe habari zako ni za wakristo tu; kwako hakuna nchi inayoitwa Tanzania? Unaishi nchi gani wewe; kuna nchi inaitwa Islam? Iko wapi hiyo?
Maswala yako ya kidini kwanini uyaweke mbele zaidi ya uraia wa nchi yetu wenyewe?
Wakristo wakiondolewa leo Tanzania, hilo litakuridhisha sana wewe na wenzenu mnaoshinda kutwa mkiimba udini humu?
mwambie huyo mmama mjinga kweli,lipumbavu kweli hilo ndio nyimbo zake masaa 24,,utasikia mara waislamu wenzake wa gaza,,kumbe nyuma yake umejaa upumbavu tuu
 
Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!

Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Tumekubali utumwa kwa Katiba.
 
Ukiangalia mwenendo wa Urais wa Tanzania nashawishika kukubaliana na hoja Kwa sababu Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima kutokee Chokochoko za Wakristo kujifanya hawaridhiki na Uongozi ila wao ndio wanaongiza vizuri wakati kihalisia Huwa wanaharibu sana maisha.

Binafsi hizo dini zenu za Waarabu na Wazungu ni useless kwangu ila Bora hata Waislamu Wana unafuu sana.
Kwa upande uliomama unaweza ukaona ni sahihi Kwa unachofikiri na ndio maana umetoa na mifano kabisa kupigilia msumari katika kile unachoamini ni sahihi.. ila hata huo upande mwingine una mifano yake pia ambayo kama tukiiangalia Kwa namna ulivyoangalia wewe ndio tunaingia rasmi katika mzozano wa udini ambapo Mimi sihitaji kushiriki hilo.

Mtazamo wangu ni kwamba mtu yeyote anapokuja na hoja Fulani tujifunze ku deal na Ile hoja yake lakini badala yake sisi tuna deal na mtoa hoja na hapo ndipo kosa linapoanzia
 
Mtoa hoja anapotumia dini kama msingi wa kinga ya hoja unategemea nini?

Nasisitiza Kwa uzoefu wangu wa Marais waliopita afadhari waislamu kuliko wakristo Sasa na ieleweke wazi natumia hoja hii Kwa sababu ndio dini kubwa mnazo,Mimi pamoja na kubatizwa kwenye dini ya wazee lakini nimehundua dini zenu hizo ni scam na nonsense ila kwa.kuwa.mnazo nitaendelea kujenga hoja na kuchambua Kwa muktadha huo huo wa dini zenu maana hoja zenu mnajifichia huko.

Mbaya zaidi Kuna kipindi Chadomo qalikuwaga na hoja clear tuu baadae taratibu wakaanza kuziwasilisha Kwa identity za kidini,ukabila,ukanda na asili ya mtu.

Mwisho Zingatia neno nafuu
 
Hizi ni blaa blaa za wasaka vyeo kujaribu kuwa spin watu wasio na uelewa.

Wapi hapa Tanzania hayo uliyouataja hayafanyiki hadi yakifanyika Zanzibar basi iwe mumeibiwa?

By the way ni lini Wazanzibar waliwahi sema wanataka Muungano? Anaewalazimisha si ni CCM? So wasifanye maendeleo Yao Kwa sababu tuu Kuna wapumbavu wachache watasema ni hela zao zinafanya Kwa sababu Rais aliyepo anatokea Zanzibar?

Huwezi kuwa na hoja Kwa kuleta chuki binafsi na hata huyo anaewafanganya hatofanikiwa pamoja na kujinasibisha na Mungu maana Mungu sio wa mmja na sio mnafiki Wala mjinga.

Nataka nione Sasa kwamba Je CCM inakataa Muungano au inataka Kutawala Zanzibar?
Kuukataa muungano ni kuikataa ccm. Huu ni uhalisia wala si chuki!
Tutafika huko very soon.
NB: Yanayofanyika Tanganyika huwezi kuweka kwenye mizania sawa na yanayofanyika Zanzibar.
Kama vipi subiri ripoti za CAG!
Yafanyike Zanzibar kwa fedha zao zipi?
Alafu Mbona huko Tanganyika Wazanzibari wanakwapua kila rasilimali na bado hamuoni ni tatizo?
 
Kwa upande uliomama unaweza ukaona ni sahihi Kwa unachofikiri na ndio maana umetoa na mifano kabisa kupigilia msumari katika kile unachoamini ni sahihi.. ila hata huo upande mwingine una mifano yake pia ambayo kama tukiiangalia Kwa namna ulivyoangalia wewe ndio tunaingia rasmi katika mzozano wa udini ambapo Mimi sihitaji kushiriki hilo.

Mtazamo wangu ni kwamba mtu yeyote anapokuja na hoja Fulani tujifunze ku deal na Ile hoja yake lakini badala yake sisi tuna deal na mtoa hoja na hapo ndipo kosa linapoanzia
Ewaaah !
Na hiyo kitu kwa baadhi huwa inatokea kwa sababu ya Uzwazwa wa kutokujua mambo !
Lakini kwa wengine huwa inatokea kwa makusudi mazima kwa nia ya kupotosha na kujitengenezea uungwaji mkono kutoka kwa mazwazwa wengi zaidi ! Note : Uzwazwa sio tusi bali ni kipaji cha kutoelewa mambo kwa haraka 🤣🤣 😅😂 !🤷🏿‍♂️
 
Sasa hivi kinacho onekana waziwazi ni hili kundi la waislam ambao wameamua wazi kabisa kuweka mbele maslahi ya dini yao juu ya utaifa wa nchi yao.
mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilike
 
Anayeona udini ndiye mdini mkubwa kwahiyo

Professor Assad aliyekataa uhuni kwenye utawala wa Magufuli alikuwa mdini?

Vipi Zitto lwabwe wa emzi za Magufuli

Watoto wa siku hizi mnaangalia mambo kipumbavu Sana
Maajabu ni kwamba hao wote kwasasa wapo kimya kama hawaoni vile yanayoendelea.
 
Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Mnasomba mali za Tanganyika mnajenga Zanzibar lakini Watanganyika wakae kimya.

Mnauza mali zote za Watanganyika kwa ubabe kama mnavyowafukuza wamasai kwao, bandari, madini, kwa mikataba ya kuwakomoa, wakae kimya.

Mnaajiri wazanzibar hata nafasi zisizo za muungano wakae kimya.

Watanganyika wakija kwenu mnawapiga fimbo na kuwanyanyasa eti wanakula mwezi mtukufu, wakae kimya.

Watanganyika wakiimba nyimbo zao kwenu mnawaita makafiri mnawafukuza kwenye nyumba za kupanga lakini wakae kimya.

Mnanunua ardhi ya Tanganyika mnavyotaka ila kwenu mnawabagua na mmetunga sheria ya kukataza Mtanganyika kutonunua ardhi kwenu lakini wakae kimya.

Ni ujinga, uharamu, na uovu kutumia udini kumuibia mtu/mtanganyika.

Miaka ya nyuma walikazana sana na kero za muungano kila siku kwenye majukwaa nk.

Sasa hivi wanavyojichotea mali za mabwege huwasikii hata kwa bahati mbaya.

Watanganyika sio wapole ila mimi naona majuha, mazezeta mabwege na wasiojitambua
 
Mtoa hoja anapotumia dini kama msingi wa kinga ya hoja unategemea nini?

Nasisitiza Kwa uzoefu wangu wa Marais waliopita afadhari waislamu kuliko wakristo Sasa na ieleweke wazi natumia hoja hii Kwa sababu ndio dini kubwa mnazo,Mimi pamoja na kubatizwa kwenye dini ya wazee lakini nimehundua dini zenu hizo ni scam na nonsense ila kwa.kuwa.mnazo nitaendelea kujenga hoja na kuchambua Kwa muktadha huo huo wa dini zenu maana hoja zenu mnajifichia huko.

Mbaya zaidi Kuna kipindi Chadomo qalikuwaga na hoja clear tuu baadae taratibu wakaanza kuziwasilisha Kwa identity za kidini,ukabila,ukanda na asili ya mtu.

Mwisho Zingatia neno nafuu
Na ndio maana narudia kile kile kama yeye anatumia kivuli Cha udini hilo ni kosa lake yeye kama yeye na aina ya malezi aliyepewa yeye usiwahusishe wakristo wote..
Labda nikuulize swali?... Kwa Yale matukio yote ya kigaidi yaliyofanyika unafikiri ni sahihi kuyahusisha na uislam?....

Nafkiri umeshafika mbali katika hicho unachoamini sio rahisi Mimi kubadilisha chochote Kwa kutumia sms Hizi za jamii furums
 
mwambie mzee wa vijisenti na yule mama wa hela ya mboga wasilimu basi list ikamilike
Dini na Udini Udini kwa sasa ndio kichaka cha kujifichia wale waovu waovu wenye kutafuta sympathy kutoka kwa watu wasiokuwa na uwezo wa kuchanganua mambo kwa haraka na kujua nini kinachoendelea !!

Hao mimi huwaita mazwazwa 😳 !
 
Na ndio maana narudia kile kile kama yeye anatumia kivuli Cha udini hilo ni kosa lake yeye kama yeye na aina ya malezi aliyepewa yeye usiwahusishe wakristo wote..
Labda nikuulize swali?... Kwa Yale matukio yote ya kigaidi yaliyofanyika unafikiri ni sahihi kuyahusisha na uislam?....

Nafkiri umeshafika mbali katika hicho unachoamini sio rahisi Mimi kubadilisha chochote Kwa kutumia sms Hizi za jamii furums
Sio kosa lake ndio msingi wa kutafuta kuungwa mkono na hoja yake.

Je unataka uniambie kwamba Polepole hajui kwamba utekaji haujaanza na Samia japo sio hoja ya kuhalalisha?

Polepole hajawahi simamia na kutumikia Serikali ya utekaji?
 
Kuukataa muungano ni kuikataa ccm. Huu ni uhalisia wala si chuki!
Tutafika huko very soon.
NB: Yanayofanyika Tanganyika huwezi kuweka kwenye mizania sawa na yanayofanyika Zanzibar.
Kama vipi subiri ripoti za CAG!
Yafanyike Zanzibar kwa fedha zao zipi?
Alafu Mbona huko Tanganyika Wazanzibari wanakwapua kila rasilimali na bado hamuoni ni tatizo?
Thibitisha hili na elezea ni wapi Zanzibar imetumia hela za Bara.
 
Back
Top Bottom