Hii kali jamani jf kuna vituko sana 🤣🤣🤣Ulipitwajee....eti mke kamngata kaja kushitaki jf....halafu leo hiii anakufata pm anataka number.....we kuweza
Kichaa changu sio cha kunywa dozi nyau wee 🤣🤣🤣Naona bado hujanywa dozi😂🤣
🤣🤣🤣 shem upo weye?!😂😂😂shem kama shem ujumbe huu unakuhusu
😀😀😀😀😀 sio huyo ila ni wale waleHii kali jamani jf kuna vituko sana 🤣🤣🤣
Ko alikuja piem? Nawe umng’ate au? Yani alitakaje?!
Boss mi sijawahi kutongoza kwasababu najua kabisa SIWEZI KUKUBALIWA.Raisi wa kataa ndoa Liverpool VPN haujawai kataliwa😂🤣🤣
Kikubwa tupambanie ndoto na Malengo yetu, kwa ajili ya familia tulizo toka na yetu🙏💪Boss mi sijawahi kutongoza kwasababu najua kabisa SIWEZI KUKUBALIWA.
Mimi tayari nishajipa ID mbovuu jukwaa zima "Mkataa ndoa", sasa unadhani demu gani atanikubali?
Hata sina muda huo maana najua jibu litakuwa ni kibuti tu.
Kwani ushasahau kipindi hicho mtaani "Kuna yule kijana mtaani kwenu ole wake kijana mwengine awe rafiki yake, basi mzazi at mind kinomaa kwasababu jamaa kashahesabika ni muhuni wa mtaa mzima""
Basi ndio Mimi "Nishahesabika ni muhuni wa JF yoteee"
Cc:
To yeye aione kwenye jarada.
#YNWA
Nimerudi sasa mwanawane jana kuna manzi alinichanganya sana 😅Dogo hupatikani anga zetu🤣😂😂
We m.....nge 😂🤣🤣🤣
Suala la kutuma picha ni kama mandonga mtu kazi, zikitumwa zimetumwa na kama hazikutumwa ni kama zimetumwa, elewa mada[emoji12][emoji12][emoji12]Hivi wajuba huwa mnatumiwa picha kwanza huko PM.?
Unaweza jikuta unashusha mistari kwa Prof Tibaijuka.
Kunikopesha ukwaju😁😁😁😁wapi nimekukataa mpendwa
HahaaaaIla wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje [emoji38][emoji38][emoji38]
Ina maana mpendwa unataka kunifilisi ili nidange ile mia 500 yangu ya ukwaju ulilipa😬😬Kunikopesha ukwaju😁😁
Marahaba kijana tafuta hela usiteseke kama kaka zakoHahaha shikamoo kwakwer
Hapana usidange😪, shida cheque iko gamboshi🤣😂😂Ina maana mpendwa unataka kunifilisi ili nidange ile mia 500 yangu ya ukwaju ulilipa😬😬
Marahabaaaa..Ina maana mpendwa unataka kunifilisi ili nidange ile mia 500 yangu ya ukwaju ulilipa😬😬
Dogo hebu tafuta Chaka lako🤣😂, naona una nichukulia simpo🤣😂Marahabaaaa..
hamjambo lakini ?
Msalimie mjukuuu 😅😅
Huko piemuniii umepigwa cha mbavu na wangapi?😅😅😅Marahabaaaa..
hamjambo lakini ?
Msalimie mjukuuu 😅😅