Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Skiliza ndugu, ukikataliwa usijiskie vibaya. Umeepushwa makubwa na mabaya sana japo ulikua unailazimisha yakukute. Mungu hamtupi mja wake.
Mshukuru Mungu, kuwa mstahimilivu Songa mbele.


Ume
Dah leo nimegundua kukataliwa inauma sana😐, iwe hadharani au hata huko pm😪.

Nikaona sio vibaya tukija na operation ponya Moyo, we tema cheche ili utoe sumu.

View attachment 2696572
 
Watu wachoyo walah, kwa nini umnyime mtu kitu wewe ulipewa bure

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
nashangaa mimi..... kuna 2 humu niliwakagua kupitia nyuzi zao uwasilishaji michango yao na nikajiridhisha kabisa hpa natoboa lkn kutia pua tu pm ni bora nisingeenda huko najuta mimi kumbe pm sio km huku
 
Na mimi ndio nimeshangaa [emoji1787][emoji1787]

Wanang’atana veeeepe kwa mfano?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Vituko haviishi kila siku yaani
 
Back
Top Bottom