Upoteaji wa majina ya asili ya Waafrika

Upoteaji wa majina ya asili ya Waafrika

Mambo mengi ya asili yanaendana na uchawi.Majina ya asili yapo connected na mizimu na matambiko. Mizimu na matambiko ndo chanzo jinsi waafrika tulivyo, matatizo, umasikini, magonjwa chanzo ni mizimu. Mizimu haitaki maendeleo, hofu watu wakiwa na maendeleo wataelimika wataacha kutambika mizimu.
 
Kuna haja kama taifa kuliangalia hili swala kwa ssa mpaka mtu ataje mpaka jina la 3 ndipo utagundua ni mtu wa sehemu gani mfano mimi ...NOEL ANTHONY KIMWERY kupitia jina langu la 3 ndipo utagundua ...aaahh kumbe [emoji12]
Hilo jina la Kati😀
 
Sio lazima umuite mwanao Kinjekitile, kuna majina mengi Sana ya kiasili kwenye kabila ulilotokea na yenye maana nzuri Sana. Tafuta jina zuri lenye maana nzuri, ukiwa mtu wa kutamani hivyo utayapata tu majina mazuri.

Jina jackline lina asili ya kabila lako? Celestine je?
 
Tunaogopa kuwapa watoto majina ya asili kwa sababu wenye majina hawapo, wamekufa wengine tushagombana n koo z afamilia kwa kushikana uchawi, wengine tangu tuondoke uko vijijini tangu tuondoke hatujarudi tunaogopa kulogwa sasa nani atawafanyia mambo ya asili endapo jambo likitokea usicheze na mambo ya asili kama ujui utajuta

Mnasema watoto wenu hawana akili darasani, mabinti mnalalamika hamzai wengine hamuolewi unazani shida inaanzia wapi shida ni hayo majina hayo mtoto unamwita kinjekitile, mkwawa, kashindye ujui mila na matambiko
Kwahiyo hayo majina ya wazungu wenye nayo wapo hawajafa si ndio? Hawakuwahi kugombana na koo zao si ndio? Walikuwa wako karibu sana na familia zao si ndio?

Hakuna watoto wa kizungu wasio na akili? Nawao hii inasababishwa nanini? Wamelogwa?

Hakuna wazungu ambao hawaolewi? Wamelogwa?

Hakuna wazungu ambao hawazai? Wamelogwa?
 
mwanaume mtongozaju akiniita kwa jina hilo nakuwa makini kumsikiliza, nalegea sana pia nikiitwa hivyo na mwanaume wangu,

Acha kulegea kizembe mkuu,, Jina tu unalegea
 
Mambo mengi ya asili yanaendana na uchawi.Majina ya asili yapo connected na mizimu na matambiko. Mizimu na matambiko ndo chanzo jinsi waafrika tulivyo, matatizo, umasikini, magonjwa chanzo ni mizimu. Mizimu haitaki maendeleo, hofu watu wakiwa na maendeleo wataelimika wataacha kutambika mizimu.
Umepotea, labda ungeniambia majina ya kurithi ningekuelewa,
 
Mtoto wa dada yangu alivyo zaliwa tulimuta Nuru, baba paroko kalikataa ikabidi wampe jina la kizungu, kwa hoja ya jina la mtakatifu nani Sjui, dini zimetuhalibia kwa kiasi kikubwa
 
Binafsi ninapenda sana Majina ya Asili maana hata ukitaja jina lako ni rahisi kujulikana identity yako kuwa unatokea wapi.
 
Back
Top Bottom