Wewe umepumbazwa(brainwashed).Mambo mengi ya asili yanaendana na uchawi.Majina ya asili yapo connected na mizimu na matambiko. Mizimu na matambiko ndo chanzo jinsi waafrika tulivyo, matatizo, umasikini, magonjwa chanzo ni mizimu. Mizimu haitaki maendeleo, hofu watu wakiwa na maendeleo wataelimika wataacha kutambika mizimu.
Ebu nipe tofauti ya mzimu na mtakatifu? Hayo Majina yenu ni ya mizimu ya kiarabu na ya kizungu.
Nitafitie mzungu anayeitwa abdulaziz au mwarabu anayeitwa Johnson.
Jina linapaswa kutokana na lugha yako unayoongea na siyo dini.