SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga mstari wakati mpira unapigwa. Nawaletea na uthibitisho wa picha wa penati hizo.
Penati ya kwanza ya Aziz Ki
Penati ya pili ya Aucho
Penati ya nne ya Yao
Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.
Penati ya kwanza ya Aziz Ki
Penati ya pili ya Aucho
Penati ya nne ya Yao
Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.