FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ngao ya mwakani waitwe waamuzi wa EPL.Narudia tena: hiivi hawa Uto waliangalia mechi ya Chelsea vs Liverpool kweli? Ingekuwa Mo Salah anachezea Yanga halafu goli lake lile likataliwe namna ile pangekalika kweli? Ila uzuri Salah yuko mbele huko kusiko na Wazaramo kiasi kwamba alielewa kwamba ni kweli alikuwa ameotea.