Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

Narudia tena: hiivi hawa Uto waliangalia mechi ya Chelsea vs Liverpool kweli? Ingekuwa Mo Salah anachezea Yanga halafu goli lake lile likataliwe namna ile pangekalika kweli? Ila uzuri Salah yuko mbele huko kusiko na Wazaramo kiasi kwamba alielewa kwamba ni kweli alikuwa ameotea.
Ngao ya mwakani waitwe waamuzi wa EPL.
 
Narudia tena: hiivi hawa Uto waliangalia mechi ya Chelsea vs Liverpool kweli? Ingekuwa Mo Salah anachezea Yanga halafu goli lake lile likataliwe namna ile pangekalika kweli? Ila uzuri Salah yuko mbele huko kusiko na Wazaramo kiasi kwamba alielewa kwamba ni kweli alikuwa ameotea.
Hili jambo limenishangaza sana. Yaani watu wanakaa kabisa katika radio na TV wanawaambia wasikilizaji na watazamaji kuwa magoli ya clear offside kuwa ni magoli halali. Hakuna weledi kabisa katika hivi vyombo aisee
 
Mashabiki wa soka hapa bongo ni kama hawana akili nzuri,sasa mpira ushaisha na bingwa kapatikana wachambuzi wanaanza kulalamika as if itabadili matokeo.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mashabiki wa soka hapa bongo ni kama hawana akili nzuri,sasa mpira ushaisha na bingwa kapatikana wachambuzi wanaanza kulalamika as if itabadili matokeo.
Awalalamiki wanachofanya ni kuchambua match.ukifanya vizuri utapongezwa na penye kosa utakosolewa.
 
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga mstari wakati mpira unapigwa. Nawaletea na uthibitisho wa picha wa penati hizo.

Penati ya kwanza ya Aziz Ki
View attachment 2717128
View attachment 2717129

Penati ya pili ya Aucho
View attachment 2717130

Penati ya nne ya Yao

View attachment 2717131
View attachment 2717137

View attachment 2717132

Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.
Wanaolalamika waende mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaolalamika waende mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili wewe. Kinachoelezwa hapa ni sheria za penati. Wakati mpira unapigwa golikipa anatakiwa angalsu mguu mmoja uwe kwenye msitari au nyuma ya msitari. Point ni kwamba marefa hawakufuata sheria. Kama kipa akitoka kabla mpira haujapigwa penati inarudiwa unless mpira umeingia golini. Mimi nadhani hii ni forum ya wapenda mpira na unavyotoa comment inabidi uwe serious siyo kuleta ushabiki.

Mwaka 1986 Maradona alifunga goli kwa mkono tena kwenye nusu fainali kombe la dunia. Refa hakuona lakini goli halikufutwa kwa sababu kwenye football match uamuzi wa refa ni wa mwisho hata kama kuna makosa. Maamuzi pekee ambayo yanaweza kukatiwa rufaa kwente FA ni labda mchezaji amepewa jadi kwa makosa.

Kwa hiyo tuache upuuzi wa kishabiki. Kama huna cha kusema kaa kimya. Hata kama watu watahisi kama wewe ni bwege kuliko kufungua domo lako na kuwathibishia watu wote kuwa wewe ni bwege.
 
Mbona katania tu au unamchukia longtime.
 
Hivyo bingwa hajapatikana?Mantiki ya hovyo haswa.Kuna timu imefungwa 3 kwa 1.Ndio sababu bingwa wa Ngao ya Jamii kapatikana.Hutaki haifuti ukweli.
Zile penati,siyo magoli,ni njia ya kumalizia ubishi,kombe la dunia magoli ya penati za vile hayahesabiki,itakua umeanza kuangalia mpira wakati Azam anaonesha,mpo wengi msiojua chochote kuhusu mpira,ngao Simba Hana goli hata moja
 
Halafu huo ubishi kashinda nani?Kwanini wasimalize ubishi kwa kupiga danabana?Scoreboard ilikuwa inaonyesha nini?
All in all Bingwa wa ngao ya hisani ni timu ipi?
Denial is the first sign of depression.
 
Hajashinda,kapewa ngao kisheria,Simba Haina goli hata moja, zaidi ya yake waliyoifunga timu ya sheli uturuki
 
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga mstari wakati mpira unapigwa. Nawaletea na uthibitisho wa picha wa penati hizo.

Penati ya kwanza ya Aziz Ki
View attachment 2717128
View attachment 2717129

Penati ya pili ya Aucho
View attachment 2717130

Penati ya nne ya Yao

View attachment 2717131
View attachment 2717137

View attachment 2717132

Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.
 
Attachments

  • IMG-20230814-WA0013.jpg
    IMG-20230814-WA0013.jpg
    30.9 KB · Views: 1
Hayo maua Apewe Karia, Refa ree na Lizmen
 
Attachments

  • IMG-20230814-WA0013.jpg
    IMG-20230814-WA0013.jpg
    30.9 KB · Views: 1
Hajashinda,kapewa ngao kisheria,Simba Haina goli hata moja, zaidi ya yake waliyoifunga timu ya sheli uturuki
Mbona Utopolo hawajapewa kisheria.Kwani timu gani haipewi ushindi kisheria?Hujui mpira una sheria zake na anayeshinda kwa mujibu wa sheria hizo ndio mshindi.
Mshindi wa kombe la Dunia nani kwa mantiki yako?Au uelewa mdogo?
 
Unapata tabu ya nn kuwaelezea watu. Takwimu zinaonesha lwamba ssc ni bingwa wa ngao ya hisani msimu huu. Kwishey
Nashangaa mkuu kuwaletea ushahidi hao vyura wakati mzee wa mwitu keshatwaa ngao na ipo pale makao mtaa wa Msimbazi kabatini.
 
Mbona Utopolo hawajapewa kisheria.Kwani timu gani haipewi ushindi kisheria?Hujui mpira una sheria zake na anayeshinda kwa mujibu wa sheria hizo ndio mshindi.
Mshindi wa kombe la Dunia nani kwa mantiki yako?Au uelewa mdogo?
Utakua mchaga tu,ndiyo mmeanza kuangalia mpira siku hizi kupitia Azam,nyi pikeni mbege,kunyweni,nendeni dukani
 
Back
Top Bottom