Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

Utakua mchaga tu,ndiyo mmeanza kuangalia mpira siku hizi kupitia Azam,nyi pikeni mbege,kunyweni,nendeni dukani
Unadhihirisha ujinga wako kwa kujaribu ku guess kabila.Hoja zimekushinda umebakia kudhihirisha ujinga wako kwa hoja muflis zilizo nje ya mpira.
 
Halafu huo ubishi kashinda nani?Kwanini wasimalize ubishi kwa kupiga danabana?Scoreboard ilikuwa inaonyesha nini?
All in all Bingwa wa ngao ya hisani ni timu ipi?
Denial is the first sign of depression.
Ukiambiwa huna akili unarusha ngumi kuna tofauti kati ya penalty na penalties shoot out

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wapigaji wenyewe wa penati ndiyo hawa wanajaribu kumdanganya kipa kwa kunyoosha kidole

Screen Shot 2023-08-15 at 3.54.15 PM.png
 

Attachments

  • Screen Shot 2023-08-15 at 3.54.15 PM.png
    Screen Shot 2023-08-15 at 3.54.15 PM.png
    156.7 KB · Views: 2
Tukubali Wote Kuwa Simba Kajipigia Mtani Wake Vizuri Sana
Nasema Kampiga Kama Ngoma Mno
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.Waliruka ruka haswa.
 
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.Waliruka ruka haswa.
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua Kali
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom