Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

hapa mpira ulikuwa haujapigwa mkuu usitudanganye
Tatizo mnapenda kubishana tu. Angalia vizuri hapo mpira umeshatoka mguuni mwa mchezaji wa Singida unampita mchezaji wa Simba aliyeinua mguu.

Ukitaka ya nyuma yake kidogo wakati anapiga hii hapa.

Screen Shot 2023-08-14 at 7.40.47 PM.png
 
Na pia rekodi zinaonyesha Simba inaongoza kuwa na makipa bora, wakali wa kuficha penati, tangu enzi za (au hata kabla ya) Idi Pazi, Athumani Mambosasa, Moses Mkandawile, Mohammed Mwameja, Juma Kaseja, Aishi Manura, na sasa dogo anayesumbua mjini Ally Salim.
omar mahadhi bin jabbir, steven nemes, issa manofu
 
Ni kazi bure...Hujaleta uthibitisho wowote hapo....Ila kila mtu aliona kilichotokea, na hata lile goli linalodaiwa kuwa off-side lilivofunga. lakini yote kwa yote ndiyo yameshatokea...
tugange yajayo
Penalty ya kwanza kipa katoka mapema hawajalalamika, ya pili, ya tatu.... Bench zima la ufundi na wachezaji wanaangalia tu.
 
Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga mstari wakati mpira unapigwa. Nawaletea na uthibitisho wa picha wa penati hizo.

Penati ya kwanza ya Aziz Ki
View attachment 2717128
View attachment 2717129

Penati ya pili ya Aucho
View attachment 2717130

Penati ya nne ya Yao

View attachment 2717131
View attachment 2717137

View attachment 2717132

Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.
Ukiangalia picha yako ya pili ambayo imechukuliwa kwa camera nyingine utaona kipa yupo nje ya mstari. Nakuongezea na picha nyingine iliyochukuliwa kwa angle ya namna hiyo. Japo siwezi kusema kuwa sababu ya kukosa penati ni kipa kutokea ila sheria za upigaji penati haukuzingatiwa
 
Attachments

  • IMG_20230814_203504.jpg
    IMG_20230814_203504.jpg
    65.8 KB · Views: 1
Ukiangalia picha yako ya pili ambayo imechukuliwa kwa camera nyingine utaona kipa yupo nje ya mstari. Nakuongezea na picha nyingine iliyochukuliwa kwa angle ya namna hiyo. Japo siwezi kusema kuwa sababu ya kukosa penati ni kipa kutokea ila sheria za upigaji penati haukuzingatiwa
Mlikuwa mnadai penati zote alitoka kwenye mstari, sasa hivi mnaanza kuchagua. Picha mbili za kwanza nilizoweka ni za Aziz Ki, ukiangalia mguu wa kushoto wa Salim uko kwenye mstari. Hiyo uliyoweka wewe ni ya Pacome, tena huyo Pacome ndiyo alimnyooshea kidole kabisa anapoipeleka, sijui ndiyo alitaka kumpoteza kipa au vipi.
 
Kaangalie tena vizuri weka ushabiki pembeni. Sio una tukeletea picha mtu Yuko kwenye move una capture your point of interest
 
Sawa vzur,sitaendeleza kubwabwaja maana ushahid upo waz
Huwa nasema Yanga wana nguvu kubwa kwenye masuala ya propaganda wakiwa na jambo lao, kila mtu ataliamini hata kama ni uongo. Haya maneno watasema msimu mzima, na hata ukiwaletea uthibitisho unaopingana na kile wanachosema, wataupuuza kama wanavyofanya hapa. Yaani nawasikia wachambuzi nao wanasema goli la Singida ni halali wakati marudio tu ya Youtube yanakuonyesha ile ni offside, unajiuliza wameangalia kweli marudio kama wanavyodai au wana ajenda zao?
 
Kaangalie tena vizuri weka ushabiki pembeni. Sio una tukeletea picha mtu Yuko kwenye move una capture your point of interest
Picha nilizoweka ni wakati mpira unapigwa na ndiyo hapo inabidi tumhukumu Salim kama hakuwa na mguu kwenye mstari au la. Nimeweka hizo offsides mnazodai ni magoli halali, nimeweka na hizo penati, siwalazimishi kukubali ila ukweli unajidhihirisha
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Simba akifungwa husikii kelele ila hawa jamaa wakifungwa wanaanza lawama subiria wakose league uone watakavyokuwa na malalamishi.
Nani kafungwa na Simba!?.. simba Hana goli hata moja
 
Ukiangalia picha yako ya pili ambayo imechukuliwa kwa camera nyingine utaona kipa yupo nje ya mstari. Nakuongezea na picha nyingine iliyochukuliwa kwa angle ya namna hiyo. Japo siwezi kusema kuwa sababu ya kukosa penati ni kipa kutokea ila sheria za upigaji penati haukuzingatiwa
Akikujibu hii,nishtue
 
Narudia tena: hiivi hawa Uto waliangalia mechi ya Chelsea vs Liverpool kweli? Ingekuwa Mo Salah anachezea Yanga halafu goli lake lile likataliwe namna ile pangekalika kweli? Ila uzuri Salah yuko mbele huko kusiko na Wazaramo kiasi kwamba alielewa kwamba ni kweli alikuwa ameotea.
 
Back
Top Bottom