Na pia rekodi zinaonyesha Simba inaongoza kuwa na makipa bora, wakali wa kuficha penati, tangu enzi za (au hata kabla ya) Idi Pazi, Athumani Mambosasa, Moses Mkandawile, Mohammed Mwameja, Juma Kaseja, Aishi Manura, na sasa dogo anayesumbua mjini Ally Salim.Unapata tabu ya nn kuwaelezea watu. Takwimu zinaonesha lwamba ssc ni bingwa wa ngao ya hisani msimu huu. Kwishey
Ni kazi bure...Hujaleta uthibitisho wowote hapo....Ila kila mtu aliona kilichotokea, na hata lile goli linalodaiwa kuwa off-side lilivofunga. lakini yote kwa yote ndiyo yameshatokea...Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga mstari wakati mpira unapigwa. Nawaletea na u
View attachment 2717137
View attachment 2717132
Tusitafute kichaka cha kutokea, tumpeni maua yake huyu dogo.
Unatumia hisia na macho wakati nimekuletea uthibitisho usio na shaka wa picha mnato? Na goli la offside lipi hilo, hili la Moloko?Ni kazi bure...Hujaleta uthibitisho wowote hapo....Ila kila mtu aliona kilichotokea, na hata lile goli linalodaiwa kuwa off-side lilivofunga. lakini yote kwa yote ndiyo yameshatokea...
tugange yajayo
Sio hili ni lile la pili leta uthibitishoUnatumia hisia na macho wakati nimekuletea uthibitisho usio na shaka wa picha mnato? Na goli la offside lipi hilo, hili la Moloko?
View attachment 2717187
Tuanze na hili, umelionaje?sio hili ni lile la pili leta uthibitisho
Bahati mbaya Azam hawakutoa replay za angle ya pembeni kwa hiyo ni ngumu kuona ingawa Mzize anaweza kuwa amechomoza kumzidi Kennedy kwa kama hatua moja. Ni zile offside ambazo ziko tight sanasio hili ni lile la pili leta uthibitisho
hahahahaha ko hudBahati mbaya Azam hawakutoa replay za angle ya pembeni kwa hiyo ni ngumu kuona ingawa Mzize anaweza kuwa amechomoza kumzidi Kennedy kwa kama hatua moja. Ni zile offside ambazo ziko tight sana
View attachment 2717242
ko hapa kaotea na huu ni uthibitishoBahati mbaya Azam hawakutoa replay za angle ya pembeni kwa hiyo ni ngumu kuona ingawa Mzize anaweza kuwa amechomoza kumzidi Kennedy kwa kama hatua moja. Ni zile offside ambazo ziko tight sana
View attachment 2717242