Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

omar mahadhi bin jabbir, steven nemes, issa manofu
 
Ni kazi bure...Hujaleta uthibitisho wowote hapo....Ila kila mtu aliona kilichotokea, na hata lile goli linalodaiwa kuwa off-side lilivofunga. lakini yote kwa yote ndiyo yameshatokea...
tugange yajayo
Penalty ya kwanza kipa katoka mapema hawajalalamika, ya pili, ya tatu.... Bench zima la ufundi na wachezaji wanaangalia tu.
 
Ukiangalia picha yako ya pili ambayo imechukuliwa kwa camera nyingine utaona kipa yupo nje ya mstari. Nakuongezea na picha nyingine iliyochukuliwa kwa angle ya namna hiyo. Japo siwezi kusema kuwa sababu ya kukosa penati ni kipa kutokea ila sheria za upigaji penati haukuzingatiwa
 

Attachments

  • IMG_20230814_203504.jpg
    65.8 KB · Views: 1
Mlikuwa mnadai penati zote alitoka kwenye mstari, sasa hivi mnaanza kuchagua. Picha mbili za kwanza nilizoweka ni za Aziz Ki, ukiangalia mguu wa kushoto wa Salim uko kwenye mstari. Hiyo uliyoweka wewe ni ya Pacome, tena huyo Pacome ndiyo alimnyooshea kidole kabisa anapoipeleka, sijui ndiyo alitaka kumpoteza kipa au vipi.
 
Kaangalie tena vizuri weka ushabiki pembeni. Sio una tukeletea picha mtu Yuko kwenye move una capture your point of interest
 
Sawa vzur,sitaendeleza kubwabwaja maana ushahid upo waz
Huwa nasema Yanga wana nguvu kubwa kwenye masuala ya propaganda wakiwa na jambo lao, kila mtu ataliamini hata kama ni uongo. Haya maneno watasema msimu mzima, na hata ukiwaletea uthibitisho unaopingana na kile wanachosema, wataupuuza kama wanavyofanya hapa. Yaani nawasikia wachambuzi nao wanasema goli la Singida ni halali wakati marudio tu ya Youtube yanakuonyesha ile ni offside, unajiuliza wameangalia kweli marudio kama wanavyodai au wana ajenda zao?
 
Kaangalie tena vizuri weka ushabiki pembeni. Sio una tukeletea picha mtu Yuko kwenye move una capture your point of interest
Picha nilizoweka ni wakati mpira unapigwa na ndiyo hapo inabidi tumhukumu Salim kama hakuwa na mguu kwenye mstari au la. Nimeweka hizo offsides mnazodai ni magoli halali, nimeweka na hizo penati, siwalazimishi kukubali ila ukweli unajidhihirisha
 
Reactions: Tui
Simba akifungwa husikii kelele ila hawa jamaa wakifungwa wanaanza lawama subiria wakose league uone watakavyokuwa na malalamishi.
Nani kafungwa na Simba!?.. simba Hana goli hata moja
 
Akikujibu hii,nishtue
 
Narudia tena: hiivi hawa Uto waliangalia mechi ya Chelsea vs Liverpool kweli? Ingekuwa Mo Salah anachezea Yanga halafu goli lake lile likataliwe namna ile pangekalika kweli? Ila uzuri Salah yuko mbele huko kusiko na Wazaramo kiasi kwamba alielewa kwamba ni kweli alikuwa ameotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…