Unadhihirisha ujinga wako kwa kujaribu ku guess kabila.Hoja zimekushinda umebakia kudhihirisha ujinga wako kwa hoja muflis zilizo nje ya mpira.Utakua mchaga tu,ndiyo mmeanza kuangalia mpira siku hizi kupitia Azam,nyi pikeni mbege,kunyweni,nendeni dukani
Na wewe toa tongo tongo,unashindwa hata kuzoom?Hapa mpira ulikuwa haujapigwa mkuu usitudanganye
Ukiambiwa huna akili unarusha ngumi kuna tofauti kati ya penalty na penalties shoot outHalafu huo ubishi kashinda nani?Kwanini wasimalize ubishi kwa kupiga danabana?Scoreboard ilikuwa inaonyesha nini?
All in all Bingwa wa ngao ya hisani ni timu ipi?
Denial is the first sign of depression.
Kwani bado hamuamini kama mmeshinda mbona ufafanuzi mwingi kama mkataba wa bandariWapigaji wenyewe wa penati ndiyo hawa wanajaribu kumdanganya kipa kwa kunyoosha kidole
View attachment 2718132
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na MasikioniKurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.Waliruka ruka haswa.