Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.

Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.

Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
 
Mantiki ya mada yake ni ipi?

Maana hujulikani unalalamika kwa Mbowe kufunguliwa au unamanisha Mbowe ni Gaidi.

Lakini pia tambua kumshuhudia mwenzako uongo ni dhambi.

"Hakuna ajuae adhabu ya kaburi mpaka limkute"
 
Kwahiyo hiyo kesi imeandaliwa na mahakama?. Au wabambikiza kesi wameipelekea mahakama? Maana ueleweki
 
Mantiki ya mada yake ni ipi?

Maana hujulikani unalalamika kwa Mbowe kufunguliwa au unamanisha Mbowe ni Gaidi.

Lakini pia tambua kumshuhudia mwenzako uongo ni dhambi.

"Hakuna ajuae adhabu ya kaburi mpaka limkute"
Unafiki umemfanya asieleweke
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Mkuu, una uhakika hauumwi gonjwa lolote la zinaa lililoathiri kichwa chako?
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Hapa unazungumzia watz walio rigid katika kufikiri ambao ukiwaambia kitu kiko hivi hawahoji tenda trends na kuwa ni dhambi kuassess mambo kwa mtazamo mpya. unaposema tuliwaamini hivi kama vile mambo hayarusiwi kubadilika na kupelekea watz nao wabadilishe maoni yao unafikiri kwa hali ya chini sana. mimi nakuonaga kama vile wewe uko smart kuliko unavozungumza sasa
 
nyie UVCCM msikilizeni Katibu wenu
uvccm.jpg
 
Sirro: chadema wanamuona Mbowe ni malaika
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.

Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.

Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
Kwani we huna macho. Chadema walishinda uchaguzi karibu majimbo yote Ila jpm aliagiza ccm watangazwe kwa nguvu. Chadema Ni chaguo la mungu
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.

Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.

Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
Haya nenda kanawe miguu ukalale hapo ukumbini
 
Nimejaribu kusoma kwa utulivu lakini sijapata logic ya hoja yako...

"Threat" ya kitu huzuiwa kabla ya matokeo. Huwezi kusubiri athari/matokeo yatokee ndiyo useme kitu au mtu fulani ni "threat" na kuanza kupambana nacho/naye...

Unajua kilichotokea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019...?

Na unajua kilichotokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2020, au siyo?

Unatafsirije ujinga na uchafuzi huo kwa kuitazama kesi hii ya Bwana Freeman Mbowe?

Hii sasa ndiyo inakuja maana ya ile statement ya Advocate Kibatala aliyowaambia mawakili wa serikali/jamhuri kuwa, "wanatanguliza mkokoteni/toroli mbele ya punda au farasi...!"

Kwenye kesi hii, wale vijana sijui kina Bwire, Adamoo na Ling'wenya katika ni "chambo" tu lakini atakiwaye kuchinjwa hapo ni mwamba...!

Swali ni; WATAWEZA????
 
Mantiki ya mada yake ni ipi?

Maana hujulikani unalalamika kwa Mbowe kufunguliwa au unamanisha Mbowe ni Gaidi.

Lakini pia tambua kumshuhudia mwenzako uongo ni dhambi.

"Hakuna ajuae adhabu ya kaburi mpaka limkute"
Watu kama hawakosekani kwenye jamii
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Kanawe uso AKILI itafunguka kidogo halafu utajckia poa.
 
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Mtoto mchunga kondoo kwani ni Moja wa chawa wanaopigwa vita pale mtaa wa kijani?
 
Back
Top Bottom