mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Unafiki umemfanya asielewekeMantiki ya mada yake ni ipi?
Maana hujulikani unalalamika kwa Mbowe kufunguliwa au unamanisha Mbowe ni Gaidi.
Lakini pia tambua kumshuhudia mwenzako uongo ni dhambi.
"Hakuna ajuae adhabu ya kaburi mpaka limkute"
Mkuu, una uhakika hauumwi gonjwa lolote la zinaa lililoathiri kichwa chako?Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Hapa unazungumzia watz walio rigid katika kufikiri ambao ukiwaambia kitu kiko hivi hawahoji tenda trends na kuwa ni dhambi kuassess mambo kwa mtazamo mpya. unaposema tuliwaamini hivi kama vile mambo hayarusiwi kubadilika na kupelekea watz nao wabadilishe maoni yao unafikiri kwa hali ya chini sana. mimi nakuonaga kama vile wewe uko smart kuliko unavozungumza sasaNauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Kwani we huna macho. Chadema walishinda uchaguzi karibu majimbo yote Ila jpm aliagiza ccm watangazwe kwa nguvu. Chadema Ni chaguo la munguNauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.
Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
Haya nenda kanawe miguu ukalale hapo ukumbiniNauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.
Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
Huyo ni kula kulala tu kwa shemeji yakeWewe utakua mtoto wa mchungaji Mashimo maana maana naona Kila dalili!
Anyway povu hili!
Nimejaribu kusoma kwa utulivu lakini sijapata logic ya hoja yako...Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Leo hii tunaongea Chadema kinambunge 1 tu wa kuchaguliwa sawa na CUF. Mi nadhani Chadema kwa kuwa wamekuwa wakiupongeza sana huu muhimili wa mahakama nashauri watulie na kuiachia mahakama ifanye kazi yake na kuja na majibu kwani hapa Tanzania Mahakama ndiyo chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba.
Na kwakuwa uko mwanzo Chadema walituaminisha kuwa mama Samia yuko safi, watulie kwani tulisha waamini hivyo kubadili gia kila mara si vizuri. Mi naamini kuwa mahakama itatenda haki na serikali haikurupukagi kama iliona viashiria vya uvunjifu wa amani haiwezi kukaa kimya kuacha kutulinda wananchi wake na mali zetu hivyo tusitoe povu mahakama itatenda haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
Watu kama hawakosekani kwenye jamiiMantiki ya mada yake ni ipi?
Maana hujulikani unalalamika kwa Mbowe kufunguliwa au unamanisha Mbowe ni Gaidi.
Lakini pia tambua kumshuhudia mwenzako uongo ni dhambi.
"Hakuna ajuae adhabu ya kaburi mpaka limkute"
Kanawe uso AKILI itafunguka kidogo halafu utajckia poa.Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Mtoto mchunga kondoo kwani ni Moja wa chawa wanaopigwa vita pale mtaa wa kijani?Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa unaweza sema chama na Mbowe ilikuwa threti kwa serikali na chama.
Mmoja wa machawa yaliyokemewaRubbish..
Utumbo kama huu unajaza server bure!