Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

Mbona unaweweseka au ni mmoja wa Mapolisi nn?? Tafuta meno mengine ya tembo ukaweke kwenye mzinga wa Mstaafu aliyejinyima na kujiwekea akiba yake ya Uzeeni.
 
Kwani uongo? Madaraka yanawalevya sana CCM, nadhani mshajipa hati miliki ya nchi hii na anaenenda kinyume chenu mnamuona adui.
 
Mtoto wa mchungaji Tito. Wewe mtoto wa nabii Tito tulia.
 
Aaa Mkuu, usimuulize mpumbavu maswali hayo, mwache ajiharishie tu, waunguana wanamwelewa, na wanampuuza tu!
 
Kwa kukusaidia tu,kipindi cha uchaguzi 2020.Chadema ilishinda zaidi ya viti 100.Wenye mamlaka na Wakurugenzi wa Halmashauri wanalojua hilo.Chadema ni tishio zaidi Kwa sasa kuliko kipindi chochote
 
Wanalipa vijana wanashinda mitandaoni kupaka rangi uongo ili uonekane ukweli!
 
Crap.
 
Usilinganishe kesi ya Mbowe na Sabaya jitahidi kuzifuatilia ushahidi wake utagungundua kitu.
 
Gaidi huwa anaua na kujiua , kifo kwake au kufa na watu wengi huwa anaona anapata thawabu kwa mwenyezi Mungu,
 
Hata Mwendazake mlimsifu kwa kusema hakuna Corona mpaka ikambeba
Mbowe Sio Gaidi
 
CHADEMA HAIJWAHI KUMTAMBUA RAIS ALIYEKO MADARAKANI.
HII INATOKANA NA KUTOKUBALIANA NA UCHAGUZI ULIOPITA.
 
Mpaka sasa ukimuondoa yule mama muuza pombe za kienyeji mashahidi wote ni polisi.
Wewe inakuingia akilini makomandoo waungame kirahisi hivyo kwa jambazi Jumanne?
 
Waliopita kuwa tishio kwa CCM ni Lyatonga Mrema ,Slaa, Lowassa.
Mbowe alizurura na chopa kila uchaguzi na hakuna alichoambulia.
Leo ashitakiwe kwa sababu ni tishio?.
Mahakama zetu zinatenda haki mbona zilimurudishia Lema Ubunge wake Hilo hamusemi?
 
Waliopita kuwa tishio kwa CCM ni Lyatonga Mrema ,Slaa, Lowassa.
Mbowe alizurura na chopa kila uchaguzi na hakuna alichoambulia.
Leo ashitakiwe kwa sababu ni tishio?.
Mahakama zetu zinatenda haki mbona zilimurudishia Lema Ubunge wake Hilo hamusemi?
Unaa wa chawa mmoja hivi?
 
Matokeo ya kuiua Chadema kwa makusudi yaliyofanywa na kiongozi aliyepita yanajulikana na haki imeshatendeka, Je, ni Chadema imekufa au yeye aliyetaka kuuwa Chadema ndio kafa?
 
Aisee. Ahsante kwa hayo. Nenda kidogo ukatulize akili urudi tena huku JF. Mabalozi kufuatlia hii kesi uoni kuna ka ukweli fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…