Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Kwahio implication / adhabu ni kumfungia daktari na ikibidi kufungia na hospitali husika ?
 
Kuna kauli nyingine inabidi kujitoa ufahamu na kujifanya chizi ili kuzitetea.
 
Pumbavu kabisa, hiyo umeipata katika sheria au kanuni gani?

Mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa miaka mitano ndipo muhusika awe huru ulikuwepo wakati inasomesha watu bure na kuajiri wahitimu wote. Hivi sasa watu wanalipa ada ama kwa fedha zao au mikopo.

Hivyo wizara haina majibu wala hoja ya kufafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…