DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
MTU ANAPOLETA HOJA , UNABIDI KUJIKITA KATIKA HOJA ZAKE NA SIO KUJIKITA KATIKA HUYO MTU .Chawa ni kamdudu kanakokaa sehemu chafu ili kapate ulaji, kama unatetea uchafu wowote ule wewe ni CHAWA!
MTU ANAPOLETA HOJA , UNABIDI KUJIKITA KATIKA HOJA ZAKE NA SIO KUJIKITA KATIKA HUYO MTU .
KOSA KUBWA AMBALO LIMESABABISHA KIFO CHA CHADEMA NA KUSHINDWA KUWA RELEVANT NI UWEZO WA KUJADILI HOJA .
LEO HII IKILETWA HOJA NA LUCAS MWASHAMBWA , KWAKUWA YEYE NI CCM BASI HOJA YAKE HAITOJADILIWA ILA ATAJADILIWA MTU .
HILI NI KOSA LA UNAFSI
Yale yalikuwa maigizo ya mbowe na ccm!Yaliwahi kufanyika maandamano enzi zile Mbowe anaongoza CHADEMA.
Tangu aingie Lissu na Heche (vichaa wawili) mnapenda sana kutunishiana msuli na serikali.
Angalau hayakuleta taharuki kama hizi siasa za Lissu na Heche.Yale yalikuwa maigizo ya mbowe na ccm!
Ni kweli maigizo hayawezi kuleta taharukiAngalau hayakuleta taharuki kama hizi siasa za Lissu na Heche.
Vijana mnashibishwa uchochezi mitandaoni badala ya kujaza vichwa vyenu habari chanya za kimaendeleo.Ni kweli maigizo hayawezi kuleta taharuki
Kwahiyo maoni yako ni tuendelee na maigizo sio?!
Jibu nilichokuuliza pimbi weeVijana mnashibishwa uchochezi mitandaoni badala ya kujaza vichwa vyenu habari chanya za kimaendeleo.
Hii nchi kwa mtu mjanja na mwenye mawazo kichwani akiwa na mwili wenye nguvu imejaa kila aina ya fursa.
Upeo wako ndio unaona maigizo yale yanayofanyika. CCM inaendelea kutimiza ahadi zote zilizomo kwenye ilani ya uchaguzi. Msipoangalia mtaishia kuandaa maandamano yanayoanzia na kumalizikia katika kurasa za instagram.Jibu nilichokuuliza pimbi wee
unanipa ushauri mimi we km nani?
nimekuuliza je tuendelee na maigizo yasilete taharuki?
Pimbi wee unaniita mimi kijana?!
100%Upeo wako ndio unaona maigizo yale yanayofanyika. CCM inaendelea kutimiza ahadi zote zilizomo kwenye ilani ya uchaguzi. Msipoangalia mtaishia kuandaa maandamano yanayoanzia na kumalizikia katika kurasa za instagram.
Chawa km wewe uvccm unapenda maigizoUpeo wako ndio unaona maigizo yale yanayofanyika. CCM inaendelea kutimiza ahadi zote zilizomo kwenye ilani ya uchaguzi. Msipoangalia mtaishia kuandaa maandamano yanayoanzia na kumalizikia katika kurasa za instagram.
Nimeshaingia kwenye umri mkubwa kuliko hao vijana wa uvccm. Hapakuwa na maandamano ule ulikuwa uasi wa kimya kimya wenye lengo la kumuondoa Samia madarakani.Chawa km wewe uvccm unapenda maigizo
hampendi uhalisia mpaka sasa hamjui sababu ya maandamano?
Tusichoshane nipo kula gambe hapa kitaa
Wee endelea na upimbi wako kiazi wee!
Huo utawala Bora umepotea lini tz!?..na mnataka utawala wa Bora wa aina gani?Nyie majamaa mnazingua sehemu moja. Hamsikilizi watu wanataka nini.
Watu wanataka utawala bora. Mkitaka muwashawishi kuhusu amani waelezeni hiyo amani italeta vipi utawala bora au kama itapatikana sambamba na utawala bora.