Nadhani ww washakula sana tigo yako.....
ukija kwangu nakumega tu.....
kama mwenzio anavyomegwa kisela Belgium
Mm naendelea kukumega tuKiingereza kigumu jombi. Siyo kwako tu hata jiwe alikuwa mwenzio.
Jiridhishe matumizi ya maneno yakiwamo loser na looser kabla ya kuyatumia.
Mnajidhalilisha sana jombi.
Hiiiiii bagosha!
Ndio 'uzarendo' walioachiwa.MATAGA wanajua kupotosha mambo.
Mm naendelea kukumega tu
Ww binuka vizuri uendelee kutenga mm namega tuWakulungwa rudini shule. Upumbavu mwingine kama huu bakini nao Lumumba na Lumumba.
Mna mnachojuwa zaidi ya matusi?
Kukutukana wewe ni kujifananisha na wewe. Ndiyo maana wala hunipi pressure wewe hata kidogo.
Shule kidogo loser na looser ni maneno mawili tofauti!
Sasa angalau unajua shukuru kwa kupewa elimu bure!
Lissu is a loser....
he has nothing now....
siasa zake zilipata backup kubwa ya Magu...
now he is crying like a little baby
Utahangaika na vingereza vyote mm nakumega tu!!!?
Utahangaika na vingereza vyote mm nakumega tu!!!?
ulivyo punguani hata hujui maana ya looser!!?
Mm namega tu hahahaaComment #99:
View attachment 1741112
Comment #100:
View attachment 1741117
Comment #105:
View attachment 1741119
Wa kulungwa umechanganyikiwa.
Shukuru elimu bure umekwenda hadi kurekebisha!
FWewe ndiyo ulipandisha uzi wa kutunga uongo
Yeye Lipumba anaukamilifu gani?Prof lumumba alisema tundu lissu hayupo sawa tumvumilie
F
Yeye Lipumba anaukamilifu gani?
Hivi lissu akitoa tundu nanyi mtatoa?Yeye Lipumba anaukamilifu gani?
Reaction ya lisu kwenye msimba wa Rais Magufuli imemharibia sana huko mitaani,
Watu wamechukizwa mno na kauli zake hawaamini anachokisema kinatoka kwake.
Kama anajua angekaa kimya ila kuendelea kuzungumza ni kujimaliza kisiasa.
Lisu is done, hana tena alichobakiza kwenye siasa za majukwaani.
Atawaambia nini wananchi wamwelewe.
Mbeligiji, akili zake sio zile tena za kabla ya kujeruhiwa kwake,
Kuna Yule wa awali kabla ya tukio lililotokea makao makuu pale, huyo alikuwa kichwa haswaa!!
Huyu wa leo wa Ubeligiji, ni empty, hamna kitu tena!!!
Nachozungumza ni uhalisia tofauti na kejeli zako unazozitoa hapa.Utakuwa na hoja mjomba.
Ndiyo maana star TV wakaruka kimanga.
Walijua wakimwonyesha tu kwenye TV watu mitaani watakasirika sana. Hivyo hawakuona sababu kabisa za kumwacha Lissu aendelee kujimaliza kisiasa.
Ndiyo maana wakaona watuwekee tu hotuba ya jembe letu lililotutoka.
Au nasema uongo ndugu zangu?