Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Wewe nawe usiwe mpumbavu , hao wanaoshtakiwa kwa kesi hizo usifikiri wajinga! Wanatengeneza hizo kesi wapige hela kupitia mawakiri wao.Yeye tunaposema amekosea watu wanakamatwa na kupewa kesi za uchochezi why?
ukimuita mtu mpumbavu kwa kukosea usisahau wewe ukikosea utaitwa mpumbavu pia.
Tetemeko kagera, Sakata la Sukari Makinikia, Korosho, Mbaazi ni moja ya vitu vilivyo onyesha upumbavu wa mtu fulani.
Ni hatari na siyo busara kubishana na rais JPM, iliyopo ni kukubali yaishe. Laiti kama waziri na wataalam wake wangekuwa huru kuelezea changamoto walizonazo, nina amini judgement yetu ingekuwa tofauti.Tusioneane aibu, umepewa kazi nzuri unashinda kwenye kiyoyozi huendi site mambo yameharibika, hela ya walipa kodi inatumika vibaya; bosi wako akikuita 'mpumbavu' mjibu tu ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss anafanya upumbavu kabisa...Huyu ni mpumbavuTusioneane aibu, umepewa kazi nzuri unashinda kwenye kiyoyozi huendi site mambo yameharibika, hela ya walipa kodi inatumika vibaya; bosi wako akikuita 'mpumbavu' mjibu tu ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua mpumbavuWewe nawe usiwe mpumbavu , hao wanaoshtakiwa kwa kesi hizo usifikiri wajinga! Wanatengeneza hizo kesi wapige hela kupitia mawakiri wao.
Wewe sasa ni zaidi ya mpumbavuUle uwanja unahudumia geita nzima wala sio chato tu. Na tena geina na mikoa jirani kama kagera. Geita nzima walikuwa wanategemea airstrip ya Ggm
Pumbavu! KilangilaHayo yako binafsi.
Kumgawia nyumba ya serikali Sundi Malomo, haukuwa upumbavu? Kilangila.Ha
Habari za kujikomba zinatoka wapi? Na madudu gani?
Kumgawia nyumba ya serikali Sundi Malomo, haukuwa upumbavu? Kilangila.Ha
Habari za kujikomba zinatoka wapi? Na madudu gani?
Sundi Malomo ni nani? Na hiyo nyumba unayosema aligawiwa ipo wapi? Je yeye si mtumishi wa serikali na hakustahili kuuziwa?Kumgawia nyumba ya serikali Sundi Malomo, haukuwa upumbavu? Kilangila.
Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.Sundi Malomo ni nani? Na hiyo nyumba unayosema aligawiwa ipo wapi? Je yeye si mtumishi wa serikali na hakustahili kuuziwa?
Ishu ambazo uhalisia wake ni ngumu kuthibitisha.Na suala lenyewe halioani na Engineer Msomi ambae hakutumia intelligence akatatua tatizo. Baadae akaambiwa we mpumbavu.Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.
Nyumba ipo Bagamoyo Road karibu na Kaunda Drive.
Nyumba hakustahili kuuziwa. Kwa sababu hakuwa mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki hiyo Na Magufuli hakutakiwa kuingilia uuzaji wa nyumba maana kulikuwa na wakala wa serikali, Magufuli akafanya ubabe na kupora ile process.
Hapo ndipo utajua Magufuli naye ni fisadi tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
This is big lie...mkuu anasema daraja lijengwe kwa siku saba alafu litumika apo apo...mnatania sana aiseNilishasema uhandisi nchi hii ni shida. Ubunifu ndiyo hamna kabisa sasa sijui wamefundishwa uhandisi kwa brainwashing tactics au vipi.
Creativity sasa ndiyo hapo hapo unaona ni shida ikiwa time frame ni immediate, je design itakuwa namna gani - tutumie chuma tusuke daraja design "metal bridge" metal bridge - Google Search na kisha span iwe kubwa. Hii ni more flood proof kuliko zege. Je, hii ni mpaka waambiwe na Rais hadi design? Huu ni ujinga sana. Madaraja hujengwa hadi masaa 24 na magari yanapita wewe unaongelea siku 7 unashangaa nakushangaa pia. Mkuu uhandisi nchi hii ni shida tu --period Ikiwa hawa wandisi wanashindwa Mheshimiwa rais awape jeshi ni kazi ya masaa 18-20 wameshamaliza, tena la kudumu, vifaa vipo, wafanyakazi wapo, ila shida ni creativity in design.This is big lie...mkuu anasema daraja lijengwe kwa siku saba alafu litumika apo apo...mnatania sana aise
Yeye ndiye tatizo!! PeriodKwenye teuzi wengi alikuwa hawajui ngoja tuone awamu ya pili. Wengi wamemuangusha sanaa
Hao wawili wa kwanza niliwahi kusoma taarifa zao kwenye gazeti la Rai halafu baadae lile la Raia Mwema.Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.
Nyumba ipo Bagamoyo Road karibu na Kaunda Drive.
Nyumba hakustahili kuuziwa. Kwa sababu hakuwa mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki hiyo Na Magufuli hakutakiwa kuingilia uuzaji wa nyumba maana kulikuwa na wakala wa serikali,Tanzania Buildings Agency, Magufuli akafanya ubabe na kupora ile process.
Tena si huyo tu, Magufuli kawauzia nyumba za serikali mdogo wake Musa Magufuli na ndugu yake James Doto nje ya utaratibu.
Hapo ndipo utajua Magufuli naye ni fisadi tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hapana common sense. Wengi wana madegree mengi ila hovyo tu
Uelewa mdogo unakusumbua. Ninachomaanisha hapa ni kuwa kutatuwa matatizo ya watu na kero Zao hakuhitaji uwe umesoma madegree peke yake. Lazima intelligence pamoja na elimu viende pamoja.
We si umesema jamaa anatoa amri zake tu bila kufuata misingi ya sheria. Anavyotaka yeye tu ndio iwe hivyo au?