Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

Yeye tunaposema amekosea watu wanakamatwa na kupewa kesi za uchochezi why?

ukimuita mtu mpumbavu kwa kukosea usisahau wewe ukikosea utaitwa mpumbavu pia.

Tetemeko kagera, Sakata la Sukari Makinikia, Korosho, Mbaazi ni moja ya vitu vilivyo onyesha upumbavu wa mtu fulani.
Wewe nawe usiwe mpumbavu , hao wanaoshtakiwa kwa kesi hizo usifikiri wajinga! Wanatengeneza hizo kesi wapige hela kupitia mawakiri wao.
 
Tusioneane aibu, umepewa kazi nzuri unashinda kwenye kiyoyozi huendi site mambo yameharibika, hela ya walipa kodi inatumika vibaya; bosi wako akikuita 'mpumbavu' mjibu tu ASANTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari na siyo busara kubishana na rais JPM, iliyopo ni kukubali yaishe. Laiti kama waziri na wataalam wake wangekuwa huru kuelezea changamoto walizonazo, nina amini judgement yetu ingekuwa tofauti.
 
Sundi Malomo ni nani? Na hiyo nyumba unayosema aligawiwa ipo wapi? Je yeye si mtumishi wa serikali na hakustahili kuuziwa?
Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.

Nyumba ipo Bagamoyo Road karibu na Kaunda Drive.

Nyumba hakustahili kuuziwa. Kwa sababu hakuwa mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki hiyo Na Magufuli hakutakiwa kuingilia uuzaji wa nyumba maana kulikuwa na wakala wa serikali,Tanzania Buildings Agency, Magufuli akafanya ubabe na kupora ile process.

Tena si huyo tu, Magufuli kawauzia nyumba za serikali mdogo wake Musa Magufuli na ndugu yake James Doto nje ya utaratibu.

Hapo ndipo utajua Magufuli naye ni fisadi tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.

Nyumba ipo Bagamoyo Road karibu na Kaunda Drive.

Nyumba hakustahili kuuziwa. Kwa sababu hakuwa mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki hiyo Na Magufuli hakutakiwa kuingilia uuzaji wa nyumba maana kulikuwa na wakala wa serikali, Magufuli akafanya ubabe na kupora ile process.

Hapo ndipo utajua Magufuli naye ni fisadi tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Ishu ambazo uhalisia wake ni ngumu kuthibitisha.Na suala lenyewe halioani na Engineer Msomi ambae hakutumia intelligence akatatua tatizo. Baadae akaambiwa we mpumbavu.
 
Nilishasema uhandisi nchi hii ni shida. Ubunifu ndiyo hamna kabisa sasa sijui wamefundishwa uhandisi kwa brainwashing tactics au vipi. Rais siyo mhandisi per se BUT ana uhuru na creativity inaohitajika katika uhandisi. Uhandisi ni creativity field cum design and usability. Sasa sijajua shida hapa ni nini na ndiyo maana wachina kila kukicha wanachukua miradi ya ujenzi ndani na wajenzi tunao na masoko ya mitaji yapo. Wazawa hawa ni shida, wasaidiwe na waongezewe uwezo au mitaala yao ipitiwe upya huko vyuoni, tusitibu dalili tutibu ugonjwa huu jamani la sivyo tutakuwa taifa baya sana kwa wajukuu zetu.
 
Nilishasema uhandisi nchi hii ni shida. Ubunifu ndiyo hamna kabisa sasa sijui wamefundishwa uhandisi kwa brainwashing tactics au vipi.
This is big lie...mkuu anasema daraja lijengwe kwa siku saba alafu litumika apo apo...mnatania sana aise
 
This is big lie...mkuu anasema daraja lijengwe kwa siku saba alafu litumika apo apo...mnatania sana aise
Creativity sasa ndiyo hapo hapo unaona ni shida ikiwa time frame ni immediate, je design itakuwa namna gani - tutumie chuma tusuke daraja design "metal bridge" metal bridge - Google Search na kisha span iwe kubwa. Hii ni more flood proof kuliko zege. Je, hii ni mpaka waambiwe na Rais hadi design? Huu ni ujinga sana. Madaraja hujengwa hadi masaa 24 na magari yanapita wewe unaongelea siku 7 unashangaa nakushangaa pia. Mkuu uhandisi nchi hii ni shida tu --period Ikiwa hawa wandisi wanashindwa Mheshimiwa rais awape jeshi ni kazi ya masaa 18-20 wameshamaliza, tena la kudumu, vifaa vipo, wafanyakazi wapo, ila shida ni creativity in design.
 
Sundi Malomo alikuwa mchepuko wa Magufuli wala si mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki ya kuuziwa nyumba.

Nyumba ipo Bagamoyo Road karibu na Kaunda Drive.

Nyumba hakustahili kuuziwa. Kwa sababu hakuwa mfanyakazi wa serikali mwenye stahiki hiyo Na Magufuli hakutakiwa kuingilia uuzaji wa nyumba maana kulikuwa na wakala wa serikali,Tanzania Buildings Agency, Magufuli akafanya ubabe na kupora ile process.

Tena si huyo tu, Magufuli kawauzia nyumba za serikali mdogo wake Musa Magufuli na ndugu yake James Doto nje ya utaratibu.

Hapo ndipo utajua Magufuli naye ni fisadi tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Hao wawili wa kwanza niliwahi kusoma taarifa zao kwenye gazeti la Rai halafu baadae lile la Raia Mwema.
Sasa huyu wa tatu, James Doto ndio yule Katibu mkuu wa hazina Doto James. Majina kama yako twisted hivi! Kwa mwenye kujua, please, atuambie.
 
We si umesema jamaa anatoa amri zake tu bila kufuata misingi ya sheria. Anavyotaka yeye tu ndio iwe hivyo au?

Any sane and rational person (in and out of this country) knows it. Kama hujaona hadi leo basi; you are beyond help. Endelea kumuimbia mapambio ya kumsifu.
 
Back
Top Bottom