Ansbert Ngurumo kaandika kitabu kinaitwa "John Magufuli: An Epitome of Cowardice". Kuna chapter inaitwa "His Fear of His Corrupt Past", kaelezea yote hayo.Hao wawili wa kwanza niliwahi kusoma taarifa zao kwenye gazeti la Rai halafu baadae lile la Raia Mwema.
Sasa huyu wa tatu, James Doto ndio yule Katibu mkuu wa hazina Doto James. Majina kama yako twisted hivi! Kwa mwenye kujua, please, atuambie.
Naongelea ukweli wa mambo yanayotokea hapa nchini.Any sane and rational person (in and out of this country) knows it. Kama hujaona hadi leo basi; you are beyond help. Endelea kumuimbia mapambio ya kumsifu.
Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.
Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.
Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?
Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Pumbavu yaani kutokumia sense au intellegence kutatua tatizo ni kwa Eng vijana tu!Kama hawatumii akili zao kutatua kero za Wananchi,
WALISTAHILI KUFUKUZWA KAZI.
USITAKE KUAMINISHA WATANZANIA KUWA NYEKUNDU NI SAWA NA NYEUPE.
NYEKUNDU NI NYEKUNDU TU NA NYEUPE NI NYEUPE TU.
PUMBAVU KWA MTU MZIMA KAMA Eng. Kamwelwe SI SAWA.
Pumbavu yaani kutokumia sense au intellegence kutatua tatizo ni kwa Eng vijana tu!
Wewe mwenyewe mbona ni pumbavu aseme nini? Huna intelligence and capacity to judge good or badKama NI Rika la watoto wake, aseme tu, dunia itajuwa aliwateua wakiwa bado wadogo wasioweza kutumia maarifa waliyopata shuleni mpaka chuoni.
chagu wa malunde,
Hata yeye pia kuna maeneo mengi tu amefanya maamuzi ya kipumbavu so na yeye ni MPUMBAVU vilevile.
Mfano kubambikia watu kesi..mfano mwingine inakuwaje maabara ya kupima corona inakuwa moja tu nchi nzima..MPUMBAVU kabisa.
Tusioneane aibu, umepewa kazi nzuri unashinda kwenye kiyoyozi huendi site mambo yameharibika, hela ya walipa kodi inatumika vibaya; bosi wako akikuita 'mpumbavu' mjibu tu ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mengine sio ya kutetea mkuu, ndio maana hilo neno hata yeye linamuhusu.Ule uwanja unahudumia geita nzima wala sio chato tu. Na tena geina na mikoa jirani kama kagera. Geita nzima walikuwa wanategemea airstrip ya Ggm
Kwani tatizo nini mkuu ?Na wewe punguza chuki
Au na wenyewe wachukie kama unavyochukia wewe, maisha hayapo hivyo unavyotaka hata siku moja.
Usilazimishe kila mtu awe na chuki,kwani wewe ulivyoanza kumchukia kuna mtu alikufosi mkuu kuanza kumchukia?
Kivipi sasa?Kuna mengine sio ya kutetea mkuu, ndio maana hilo neno hata yeye linamuhusu.
Utafukuza wangapi sasa, a good administrator afukuzi MTU,Mangapi kafeli je tumtumbueKama hawatumii akili zao kutatua kero za Wananchi,
WALISTAHILI KUFUKUZWA KAZI.
USITAKE KUAMINISHA WATANZANIA KUWA NYEKUNDU NI SAWA NA NYEUPE.
NYEKUNDU NI NYEKUNDU TU NA NYEUPE NI NYEUPE TU.
PUMBAVU KWA MTU MZIMA KAMA Eng. Kamwelwe SI SAWA.
Anakosea sana tena narudia anakosea sana. Anamdhalilisha Mhe. Waziri wa Ujenzi na kutamka mbele ya hadhara NIMEKOSA MHE. RAIS NISAMEHE. Huu ni udhalilishaji uliopitiliza. Kumwita mtumishi mpumbavu kwanza unamkosea Mungu na pili siyo utawala bora na kipindi hiki ni kipindi cha kwaresima na yeye ni Mkatoliki. Binafsi kile kitendo kiliniuma sana tena Mhe. Rais raia namba moja wa Tanzania. Naomba ashauriwe na aweze kubadilika.
Nina miaka 18 kazini, nafikiria siku boss wangu ataniambia Pumbaf mbele ya staff wenzangu...sijui itakuwaje...let me stop imagining 'cause it won't happen anyway!!
Mbona yeye akiambiwa tunae rais MPUMBAVU unakamtwa na kufungwa. Naomba unijibu kama siyo tusi kwake na kwa wengine je. Amewadhalilisha, na kama hao waandisi ni wapumbavu ni pmj na yy kwasababu yy ndie aliyewachagua WAPUMBAVUKabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.
Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha kuwa hawa watumishi ambao ni wasomi hawakuwa na awareness na hawakutumia weledi wao ili kutatua tatizo ambalo kwa kutumia good sense and good judgement lingeweza kutatuliwa kwa muda mfupi.
Kumeibuka mijadala sehemu mbalimbali kuwa kwa kutumia neno upumbavu eti aliwatukana na kuwadhalilisha.Je neno upambavu ni tusi? Maana ni kukosa kufikiria vyema na kuwa na maamuzi mabaya.
Hawa wasomi walishindwa vipi kutumia taaluma yao na kuona ile sehemu fupi yenye gema ambalo lingeweza kutengeneza diversion fupi na ya kudumu. Lack of good sense which leads to mistake(Foolishness) ni tusi?
Kwa maoni yangu Rais hajawatukana ila amewakumbusha kutumia akili katika kutatua matatizo. Na hili ni tatizo kubwa maana watendaji wengi wa serikali hawatumii akili ili kutatua kero za wananchi.
Rais ana maeneo mengi anayokosea,Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako.