Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

Yanga waliwahi kuwa na zee moja likiitwa ibrahimovich lilikuwa mwenyekiti wa wazee, swali la kuuliza, hao wazee wanafanya shughuli gani kwenye klabu ya michezo? Hawa ndio vingunge wa mambo ya kishirikina michezoni. Wazee wote vilabuni fukuzilia mbali hawana shughuli za kufanya! Kwamba wanakuza vipaji vya vijana na kusajili wachezaji? Kama wanaipenda michezo wakaanzishe michezo yao ipo, wakacheze bao na kuanzisha vilabu vya bao na michezo mingine ya kizee. Haipendezi klabu kama yanga kuwa na wazee klabuni kama si kuedekeza kamati zinazoitwa za 'ufundi' kumbe ni za imani za kishirikina/kichawi michezoni
 
Yaani ndio klabu yenye washabiki mazezeta jana wamepeleka timu uwanjani hakuna uongozi wa tff wa marefa..wamepeleka list ya wachezaji tff wakati wakijua mechi imeaihirishwa bado hawajakoma wamekwenda bunju kuifuata simba baadae wametoa barua wanasema meneja wa uwanja kawazuia simba ina maana wao walikuwepo naungana nawe wazee watimuliwe!
 
Ndiyo maana Yanga haifanikiwi kimataifa, wanaweka uchawi mbele sana.
 
Una chuki zako binafsi wewe
Mtizamo wako ila kuleta ufala na uchale kwenye mambo yanayogusa maisha ya watu sio poa kama wewe unafurahia upuuzi ni poa ila wengine wakikosoa aliyeharibu unaita chuki endelea na yako tafsiri swali Mo arena walifuata nini!
 
Mtizamo wako ila kuleta ufala na uchale kwenye mambo yanayogusa maisha ya watu sio poa kama wewe unafurahia upuuzi ni poa ila wengine wakikosoa aliyeharibu unaita chuki endelea na yako tafsiri swali Mo arena walifuata nini!
Hauna hoja zaidi ya kubwabwaja hovyo
 
Sahau ,mtapigwa ninyi waoga wa kuruhusu tupige tiz 😂😂
 
Hiyo pole jipe mwenyewe kwa kukaa miaka 4 bila kombe mwanetu
LIverpool anabeba amemuacha arsenal point 15..coastal union tangu 1988 sio miaka 4 mimi si shabiki wa upuuzi wa kariakoo ni mwanachama hai wa coastal union!
 
hata kuandika hujui,sasa huo ukweli utaujua?
 
hata kuandika hujui,sasa huo ukweli utaujua?
Nisijue kuandika lakini mimi sio zezeta kama mashabiki wa yanga mmepewa taarifa lakini mmejazana uwanja wa mkapa kisa kiongozi kasema nendeni siku ya pili mnakamilisha upuruzai kwenda bunju haji manara ajengewe mnara kweli nyote hamna akili na kocha luc alisema mnapiga kelele kama manyani!
 
wewe subiri utaona faida ya hao wanachama wa yanga kwenda uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…