William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
We uoni kwamba hao wote unafanana nao akili??? Si unasemaga ndege wanaofanana huruka pamoja
Haya.........
- Good na washiriki wote wa page hizi 17 tunafanana si ndio maana yake au? hahahahahahahha
Le Big Show
hapa hufanani akili na mtu we babu... au kuna anayesifia mirengo yako hapa??? Page 17 zote watu wanakushangaa unayoyafanya kwa huo umri wa Pinda.. Miaka 30 ulaya so that is all what you have to do?? Mtu anayejisifia ana Degree 3 anaishia kumiliki blog, huo ni upumbavu uliokithiri. Angalia age mates zako kama wanafanya upumbavu kama unaoufanya wewe..
hahahhahahaha hilo libonzo na hayo mawani yani ni copyright na Le Temboz..
- Kwa hiyo unasema age mate wangu ndio wamejaza hizi page 17 kwa kunishangaa? hahahahahahah nilidhani age mates wangu wanatafuta pesa kama mimi kumbe wote wana mapesa tayari sasa wamekaa wananiangalia mimi tu? hahahah unasema kumiliki blog ni makosa au kuingiza millions kama ninvyofanya na blog ni makosa? Wewe unaujua maan upumbavu au unasikia tu, mtu mzima mwenye akili timamua anaweza kuja hapa na majina ya bandia na kuanza kutukana watu asiowajua na wasiomuhusu kama wewe huoni kwamba wewe ndio mpumbvu namba moja I mean hahahahahah unnivunja mbavu u know!!
Le Mutuz
atoto njoo huku tucheke kidogo...
Age mate wako wako majukwaa ya kule juu we mpumbavu, huku chini sie wote ni kama watoto na wajukuu zako.. Age mate wako wanakula pension, long vacations na biashara na shughuli zao wamewaachia watoto zao.. Na wewe ile ID yako bandia unayoitumia kujisifia na kutukana wengine tena usivyo na akili mwandiko unautumia uleule iko wapi?? Kwahiyo we watoto wako uliowakimbia kule US wakirudi Bongo utawarithisha blog sio??
Le mutuzzzzzzzzzzzzzzzz on da air
- HAHAHAHAHAHA The King Of All Bongo Social Media Network U know hahahahah I love it!!
Le Big Show
Le Big Show ntakutafuta tujifotoe u know i like uuu
- Blog yangu ni Media Company registered na Serikali inaingiza Millions na ninaajiri wafanyakazi, Umri nilionao sio wa kustaafu Mwenyekiti wa Chadema ananizidi umri hajastaafu so slow down kwanza on that huna FACTS, watoto wangu USA wanasoma wapo College they have nothing to do na anything here kwa hiyo unasema wazazi wote bongo wenye watoto wao wanaosoma nje wamewakimbia? hahahahah wewe unasema baba yako amestaafu akakuachia hii bishara ya kuja hapa kwa majina ya bandia na kutukana watu? hahahahah unaona uanjivua nguo mwenyewe kuwa ndiye hasa mpumbavu wa kwanza U know, nenda ujipange tena mjinga wewe utabadili majina hapa ila huwezi kucheza na mimi too much for you njoo na jina lako kama mimi ndio angalau kidogo otherwise unakuwa mpumbavu namba moja u know!!
Le Big Show
- Salute Jumamosi nina Show nyingine Tegetea Club 71 nawapelekea Sir Nature, AT na wengine show la juzi Watu 5,500 at Escape One, tunaendelea kuandika history U know tena live!!
Le Mutuz
Mwenye kujua chochote, hawa watoto wa malecela, akina mwele, na yule mdogo wake, yule marehemu aliekuwa uvccm dar, na mwingine yule wa point tatu, ni tumbo mmoja na le mutuz?maana kama hawaendan hivi?