- Blog yangu ni Media Company registered na Serikali inaingiza Millions na ninaajiri wafanyakazi, Umri nilionao sio wa kustaafu Mwenyekiti wa Chadema ananizidi umri hajastaafu so slow down kwanza on that huna FACTS, watoto wangu USA wanasoma wapo College they have nothing to do na anything here kwa hiyo unasema wazazi wote bongo wenye watoto wao wanaosoma nje wamewakimbia? hahahahah wewe unasema baba yako amestaafu akakuachia hii bishara ya kuja hapa kwa majina ya bandia na kutukana watu? hahahahah unaona uanjivua nguo mwenyewe kuwa ndiye hasa mpumbavu wa kwanza U know, nenda ujipange tena mjinga wewe utabadili majina hapa ila huwezi kucheza na mimi too much for you njoo na jina lako kama mimi ndio angalau kidogo otherwise unakuwa mpumbavu namba moja u know!!
Le Big Show