Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

You what what, le mbembez, leo nimeelewa wakat ipyana anazikwa kwann wazee walisema malecela hana mtoto wa kiume mwingine😂😂😂😂
 
We uoni kwamba hao wote unafanana nao akili??? Si unasemaga ndege wanaofanana huruka pamoja
hahahahahaha
Uknw nimekubali kabisa!
Mimi ni mtu mwenye shule hivyo na hao wana shule kichwani sio supergademu madebe matupu
hahahahaha I love it
 

Attachments

  • 1416918647093.jpg
    40.8 KB · Views: 304
  • 1416918718312.jpg
    41.8 KB · Views: 281
Ila we lijibaba hats sikuelewi ningezaaa litoto kama wewe ningekutupa bahalini wallah tena nipate dhambi kwa alllah kuliko kuwa na jitu zima lenye akili za choon juzi nimekuona milimani city nusu nikimbie mtuumboo huo kah au umelogwa watu twashangaaa ati. Watu wazima kama weed hawawezi Fanya vitu kama vyako wallai we so mzima
 
hahahahahaha
Uknw nimekubali kabisa!
Mimi ni mtu mwenye shule hivyo na hao wana shule kichwani sio supergademu madebe matupu
hahahahaha I love it

hahahaha debe tupu la kwanza ni yeye U know... Bichwa kubwa limejaa funza tu I love It
 
hahahahahaha
Uknw nimekubali kabisa!
Mimi ni mtu mwenye shule hivyo na hao wana shule kichwani sio supergademu madebe matupu
hahahahaha I love it

Anadai watoto wake chuo,kwa umri wa watu ambaye walioko kwa kizazi hiki cha ss,kwa % kubwa wanadili na mambo ya social network,ss km hao watoto wanamuona baba yao vituko anavyovifanya kwenye mitandao ya kijamii,wataanza anza v kumuheshimu baba yao!
 

Kuna mkuu hapo juu kasema kwenye msiba wa mtoto wa kiume wa Mzee Melecela kulitangazwa kwamba Mzee hana mtoto mwingine wa kiume. Kwahiyo msimlaumu hahahaha
 
Hapana sio bikira....

Ni le super sekretari

Ingawa inasemekana jamaa kamdhulumu bikira

hahahahaha bikira kazulumiwa??? hahaha le temboz kumbe lijanja eeh.. na hilo lisecretariii linaitwaje nikalichore huko insta
 

- My Show Kabaha Palace imeingiza wananchi 1000, ile Show Mikochen iliingiza wananchi 5,500 na sasa my next stop Mbeya, karibu sana nitakupa complimentary tickets wacha kupoteza muda na usiowajua na wala hawakujui jianglie maisha yako hayawezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia umri wa wanaume usiowajua lazima kichwa chako ni kibovu, huwezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wengine pole sana hayo maujinga yako hayanihusu na wala I dont care ninakula maisha yangu kama kawa, kama hupendi kufa U know hahahahahahahah
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]






Le Big Show
 

Mkuu sana napataje hizo complimentary sasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…