Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Ngoja nikujibu kimantiki sasa maana naona kakugongea like kabisa.

Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.

Kwa hiyo una guess tu umri wake lakini kiukweli huujui, siyo?
 

- Huwa sijadili na watu wa this low quality so sitakujibu tena from this one, ok!1 hii ni mijadala na ni fun sio this low!!

Le Mutuz
 

Hahahaaaa mama mbavu zanguuu, mnazi unakaukaaaaa....
 
Ha ha ha ...kama hamjui ujinga ujinga ndio habari ya mujini..anzisha thread ya ufugaji nyuki ubaki peke yako
 
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.

Hapo unakisia umri wake na kudai anakaribia kufikisha miaka 60!

Mimi ninachojuwa ni classmate wa Mizengo Pinda sasa kadilia hapo.

Hapo unadai unajua yeye ni classmate wa Mizengo Pinda! Ulijuaje ni classmate wa Mizengo Pinda? Pinda mwenyewe ndo alikwambia?

Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.

Hapa unadai yupo kati ya miaka 52-55.

Sasa lipi ni lipi bwana Jinga?

Ni anakaribia kufikisha miaka 60 au yupo kati ya miaka 52-55?

Ukweli ni kwamba hujui ila unajishaua shaua tu uonekane unajua.

Kilele cha ujinga.
 

- Salute man U know!!

Le Big Show
 
Huyu jamaa atakuwa alidhurika na ule ugonjwa ZIKA

- KWa maana ya kwamba wewe ni mzima, Mwanaume mzima unaingia kwenye mitandao kufuatilia maisha ya wanaume wengine mpaka kuwazushia kuumwa na wewe ni mtoto wa kiume? duh inashangaza sana U know

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…