Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Ngoja nikujibu kimantiki sasa maana naona kakugongea like kabisa.

Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.

Kwa hiyo una guess tu umri wake lakini kiukweli huujui, siyo?
 
Lemutuz buana fa.la sana aisee baada ya mimi kukuchana kwamba ulikua samakisamaki unang'aza sharubu na sio mbez kama ulivyodanganya on that thread now umekuja na cheap argument Lusaka cheap populality eti ulikamata deal ya kuitangazq samakisamaki
Pumbaaf umeondoka sa saba dk27 na kile kidem kina miwigi mibaya kama kondoo muda wote umekaa unashangaashangaa kama unatafuta basha no one anashoboka na ww Leo unamtangazia ngabu ulilamba deal duu nna wasiwasi na ubongo wako kwakweli

- Huwa sijadili na watu wa this low quality so sitakujibu tena from this one, ok!1 hii ni mijadala na ni fun sio this low!!

Le Mutuz
 
Aisee just one comment u had to reply it twice?? Keep on guessin grand pa but that changes nuthin, U celeb?? Give me a break baba, no body knowa u apart from hao few IG users, kwanza fungua hio TV na Radio then I promise u ntakua wa kwanza kukucheka, then naelewa kwa nn wanawekaga umri wa kustaafu, nimekupa mifano ya kina Msando na Bikira but sijakulinganisha nao babu, and kama hapa TZ ndo unaishi stress free life basi huko Ulipokua unaishi kabla ya TZ ulikua hell, and unafikiri wananchi wanashauriwa kuangalia au kusikiliza, kizuri cha jiuza.. labda hio radio ubaki kwenye utawala maana kama nakuona aibu yako.. F.Y.I ule mnazi uliokojolea naskia unakauka.. then kumbe miss TZ ilikua na kundi?? Na imefungiwa miaka miwili?? Baasi subiri siku wakifunguliwa ujipendekeze.,

Hahahaaaa mama mbavu zanguuu, mnazi unakaukaaaaa....
 
Ha ha ha ...kama hamjui ujinga ujinga ndio habari ya mujini..anzisha thread ya ufugaji nyuki ubaki peke yako
 
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.

Hapo unakisia umri wake na kudai anakaribia kufikisha miaka 60!

Mimi ninachojuwa ni classmate wa Mizengo Pinda sasa kadilia hapo.

Hapo unadai unajua yeye ni classmate wa Mizengo Pinda! Ulijuaje ni classmate wa Mizengo Pinda? Pinda mwenyewe ndo alikwambia?

Mimi nimesoma DMI pia 90's kwa miaka aliyopita yeye DMI kwa calcution zangu Le Baharia atakuwa ana miaka kati ya 52-55.

Hapa unadai yupo kati ya miaka 52-55.

Sasa lipi ni lipi bwana Jinga?

Ni anakaribia kufikisha miaka 60 au yupo kati ya miaka 52-55?

Ukweli ni kwamba hujui ila unajishaua shaua tu uonekane unajua.

Kilele cha ujinga.
 
Hapo unakisia umri wake na kudai anakaribia kufikisha miaka 60!



Hapo unadai unajua yeye ni classmate wa Mizengo Pinda! Ulijuaje ni classmate wa Mizengo Pinda? Pinda mwenyewe ndo alikwambia?



Hapa unadai yupo kati ya miaka 52-55.

Sasa lipi ni lipi bwana Jinga?

Ni anakaribia kufikisha miaka 60 au yupo kati ya miaka 52-55?

Ukweli ni kwamba hujui ila unajishaua shaua tu uonekane unajua.

Kilele cha ujinga.

- Salute man U know!!

Le Big Show
 
Huyu jamaa atakuwa alidhurika na ule ugonjwa ZIKA

- KWa maana ya kwamba wewe ni mzima, Mwanaume mzima unaingia kwenye mitandao kufuatilia maisha ya wanaume wengine mpaka kuwazushia kuumwa na wewe ni mtoto wa kiume? duh inashangaza sana U know

le Mutuz
 
Back
Top Bottom