Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Ila wanawake huwa mnatuona sisi kama makatuni vile, yaani mnatufanyia USAILI kabisa. Mnatukosea sana Adabu.
 
Mlipokuwa mkitongozwa wakati mna miaka 20-30 ulikuwa bize kutupiga chini na kutubanjua kama mashine za kubangua korosho.


Tunakuomba upambane na Hali yako na iwe fundisho kwa wadogo zako wa kike hapa jf kuwa mwanamke umri ni ukuta ...


Hakuna mwanaume wa umri huo asie na familia, hapa utaishia kugongwa mpaka uote mvi. Labda upate mwanaume aliefiwa na mke, otherwise jiandae Kupigwa mashine dadeki...





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Negativity ni sumu, usijali mkuu take it easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…