Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Umeelewa kweli nilichokiandika au umekurupuka,

Naona unabwabwaja tu maneno bila kuelewa nilichozungumza,

Jaribu ku highlight nilipozungumza maneno mabaya kwa mleta uzi.

Siku nyingine kabla ya kujibu hoja ya mtu jaribu kwanza kushirikisha ubongo katika kujenga hoja.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
FURUSHI.
 
Ngoja nikuache usije nitafutia ban kwa lazima.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Sana kwa kuwa muwazi.
Namshukuru Sana Mungu kwa Fursa Hii.
Nipo tayari tafadhali tuwasiliane
 
Mm nna mama mpenzi ana 46 na ananikubali kichzi ananizidi miaka 10 ila namshona gunia vizuri sana ukitaka unga tera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta tu mtu uzae nae,wengi kwenye huo umri wanafamilia
 
Uko serious?0
 
Hapo utafeli mama saivi mambo ni zig zaga yaani mwnaume mwenye miaka 40+ anafukizia binti under 18 na wanawake kama ww hapo wengi wao wanapenda vijana under 25

Sikulazimishi uende kwa vijana sababu sio chaguo lako ila itakuchukua mda mrefu saba kupata matakwa yako


Ushauri wangu kwenye umri fanya mafekechee kidogo vijana tuchangamkie fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana. Na umetoa ujumbe mzuri kwa wadada wanaojiona bado wapo kwenye chati.

Nikiwa nipo kazini nikawa namtaka dada mmoja alikua akifanya kazi ofisi ya jirani . Yule dada akanikataa katakata. Japo nilimueleza hitaji langu la kutaka kumuoa.
Basi nikaona atanipotezea muda nikaachana nae. Huku na huku akaingia kwenye mikono ya rafiki yangu ambaye mwanamke hawezi pita mbele yake akakosa kumtongoza na lazima amle!
Jamaa akamtokea demu na kamdanganya danga na kwa vile alianza kununua usafiri kabla yangu basi demu akamvulia chupi mwisho akazalishwa mtoto mmoja na uhusiano ukaishia hapo!

Mtoto mzuri lakini mpaka leo kabaki home kuwa single mother!
Nashukuru tayari nina familia na watoto.

Wadada wawe wanajifunza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…