UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

Kwenye Portifolio kwa Skills hizo weka kazi zako uoizofanya pamoja then teengeneza Link unaenda u-paste kwenye sehemu ya Portifolio section
sina kazi yoyote nilikuwa na ma blog zamani nimeyafuta yote. labda kama una njia nzuri ya kunieleza
 
Asante kwa andiko lako lenye kufundisha, napenda sana kazi za online ila tatizo sina ujuzi mwingi wa teknolojia.
Nilisomea ufundi umeme wa nyumbani kwa miaka mitatu, na kupitia uzoefu wa kazi za wateja nikajifunza kusuka umeme wa mashine (3phase electrical installation ).
Lakini pia kwa miaka mitano nilijifunza na kuwa fundi wa vifaa vya Electronics (Electronic Services ) kwenye ofisi ya kaka yangu.
Pia najifunza vitu vingi sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani, na natamani kujifunza zaidi ili ku β€œtune” kuendana na mtazamo wangu juu ya teknolojia na kazi zake.
Kwa CV yangu ndogo niliyokuelezea, ni kitu unanishauri kuanza juu ya hitaji langu, na ninaweza kufanya nini kwenye majukwaa hayo kama β€œ passion” bila kujali kipato kwanza..?
Asante sana Mr. Kainetics
 
Wewe ni mtu rahimu sana.. Barikiwa
 
Wajinga waliwao 🀣🀣
 
Mkuuu jibu pm basi asee mbona hivyo sasa
 
Thanks. Bookmarked! Mwaka huu nataka nijifunze sana kuhusu Digital Issues. Hasa Data Analysis and Digital Marketing.
 
Kwa mfano mimi nna taaruma ya welding na sina
Chet lkn nna kaz nzuri tu nilizowahi kufanya na nna
Uzowefu inakuwaje chief???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…