UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

Kwa mfano mimi nna taaruma ya welding na sina
Chet lkn nna kaz nzuri tu nilizowahi kufanya na nna
Uzowefu inakuwaje chief???
Hello, welding sio digital skill mkuu. Kwa Freelancing ni kwa zile kazi unazoweza mfayia mtu hata akiwa mbali (remote work)
 
Kiongozi, kwanza pongezi kwa uzi huu mzuri. Pili, nauliza hizi freelancing zinaweza kuwa appicable kwa fani zetu za Civil Engineering ?
 
Back
Top Bottom