To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ndo ivoMmmh!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivoMmmh!?
HongeraNdo ivo
Kwamba?
Urafiki wa hivyo ni kichaka hasa kwa ke, wanapenda sana.Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila shaka umenielewa. kila nikilitafakari sana jambo hili, sipati jibu linaoridhisha nafsi yangu.
Wewe unasemaje?
Hakunaga hio kitu chunga mbuzi na mbwa pamoja halafu mkoseshe mbwa mlo wake ndio utapata jibuKwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila shaka umenielewa. kila nikilitafakari sana jambo hili, sipati jibu linaoridhisha nafsi yangu.
Wewe unasemaje?
Hapo unazungukwa na mke wako, jua tu analiwa kisela yaani kishikaji bila kelele.Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila shaka umenielewa. kila nikilitafakari sana jambo hili, sipati jibu linaoridhisha nafsi yangu.
Wewe unasemaje?
Mmmh!?
Sijawahi kuweza kuwa marafiki na jinsi ke, tutaishia kuwekana tuKwamba?
😅😅😅 Ndiyo maana tunatombewer sana yaani, nikiwaza mpaka machozi yanatoka yaaniKwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila shaka umenielewa. kila nikilitafakari sana jambo hili, sipati jibu linaoridhisha nafsi yangu.
Wewe unasemaje?
Wanakugongea mke wako. Shtuka mkuuKwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila shaka umenielewa. kila nikilitafakari sana jambo hili, sipati jibu linaoridhisha nafsi yangu.
Wewe unasemaje?
Mmmh Hapo kula tunda kimasihara kuko njenje!!Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.