Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

Urafiki wa hivyo ni kichaka hasa kwa ke, wanapenda sana.
 
Hakunaga hio kitu chunga mbuzi na mbwa pamoja halafu mkoseshe mbwa mlo wake ndio utapata jibu
 
Hapo unazungukwa na mke wako, jua tu analiwa kisela yaani kishikaji bila kelele.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ndiyo maana tunatombewer sana yaani, nikiwaza mpaka machozi yanatoka yaani
 
Wanakugongea mke wako. Shtuka mkuu
 
Mmmh Hapo kula tunda kimasihara kuko njenje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…