Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

Ungeweka poll tujue wapi wengi wanasapot au laah...kwa zama hizi ni noma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Haupo wanaya ya sirini
 
Ndio inawezekana sana tu, Mimi kuna wadada wengi tu tunaheshimiana sana na huwa tunaogea mengi sana tufauti sana na tugekuwa wapenzi
 
HAKUNAGA URAFIKI WA AINA HIYO..!!
 
Urafiki kati ya mke wa mtu na mwanaume asiye mumewe ni njia kuelekea kuchepuka.

Ni uhusiano wa mashaka, ni kama vile leo hii mtu akwambie huko mwituni Simba na Swala na maswahiba sana.
 
Sio tafiki tu ....hata kaka wa damu , au uncle wa damu usiwaamini nyakati hizi

Nina historia na ushuhuda wa hilo yaani nyie acheni tu..
 
Mkuu, ukitaka kumla bata, sharti uache kumchunguza. Unachokitafuta utakipata tu. Usisahau kurudi hapa kutuandikia uzi wa mauaji kabla haujasondekwa rumande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ