Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu

Maisha yaliendelea tu vizuri sasa kuna siku kaniomba nimuazime pesa 30k alijua kabisa nina pesa na lengobla ile pesa kuitynza ilikuwa ni kununua kitu fulani kutoka nje nilikuwa namuagizia mtu akajiliza niazime siku ukitaka kuagiza ikishatimia pesa mm nitakupa nikamwambia usije niangusha nakupa

Nikampa vizuri kwa moyo wote ikapita kama wiki yule jamaa alieopo nje akanicall Mwachiluwi wiki ijayo mimi narudi kesho tuma iyo pesa nikaanze kukutafutia ili na mimi nifanye mambo yangu nimekubali wewe uniagize kwasababu tu tunaheshimiana nikamwambia poa

Sasa na mimi ile pesa nikawa nimeitumia tena kama 50k hivi nikarudi kwa mshikaji nikampanga akasema jioni nikasema poa mm natafuta ile 50k itimie 450k nikijua yeye 30k naipata jioni saa nne naenda sasa kuweka pesa kwa simu nitume pesa nampigia ananijibu nyodo


Eti 30k ndio itamaliza shida zako nikikupa tunavyo sumbuana ivyo ili hali anajua pesa naenda kufanyia nini nikaona huyu anijui hizi dharau nikamuwakia na sana tu baada ya hapo mpaka leo nikituma sms hana view tu hajibu na mimi nimeamua kumpotezea kabisa
 
Mm nina slogan moja, simkopeshi wowote,,,, hata ndg yangu ni big No ! Kuliko uniambie nikukopeshe, ni bora uniombe ili nijue nitakusaidiaje kama ipo utapewa na kama sina basi !



Maswala ya kumkopesha mtu nakuja kumdai tena kwa kumpa kusudi la uhitaji wa hela yangu ni ujinga na upumbavu
 
Mkuu, jitahidi kukopesha kiasi ambacho hata ukidhulumiwa hautokuja kuanzisha thread.
Sijasema ni medhulumiwa kingine iko ni kiasi kidogo tu nimeazisha kuonyesha jinsi gani watu wanakosa uaminifu kingine 10000 haiwezi kuitwa 10000 kama 100 imekosena usidharau 100 kisa una 10000
 
Mm nina slogan moja, simkopeshi wowote,,,, hata ndg yangu ni big No ! Kuliko uniambie nikukopeshe, ni bora uniombe ili nijue nitakusaidiaje kama ipo utapewa na kama sina basi !



Maswala ya kumkopesha mtu nakuja kumdai tena kwa kumpa kusudi la uhitaji wa hela yangu ni ujinga na upumbavu
Wakiwa na shida wanalialia sana
 
Back
Top Bottom